Mapenzi ni nini?, Mapenzi ni kitu Gani ?Mbona hayosemeki ,Yanaumiza Kila uchwao

intelelect

Senior Member
Jul 8, 2022
190
284
Yapata muda wa miezi kadhaa Tangia nianze mahusiano na Binti mmoja wa kinyarwandwa ,Tulikua tunawsiliana vizuri,siku Moja niliwasiliana nae kuhitaji kuonana nae dating,akanambia nimtumie nauli Cha Ajabu nakuja kumtumia meseji vp ushapanda gari ?!akanijibu nipo kwenye gari nakuja....,Cha Ajabu baade nakuja kumpiga simu hapatikani !!!!.......huku kidume nikimsubiri Kwa hamu kubwa🥲🥲,nikagundua Kani block bila kosa lolote,nikachukua maamuzi ya kumpigia dada yake na kumuuliza mbona mwenzangu hapatikani basi kumuuliza mbona mwenzio anakupigia hupatikani ,Basi ikabidi anipigie kuongea nae kumuuliza mbona umeniblock mara oh mtandao unasumbua mm nikambana najua umeniblock...basi ndo akaanza kuniomba msamaha oh nisamehe sirudii...in short kaniboa mno Kwa kitendo hicho... Basi nikaamua kuchukua maamuzi ya kumpotezea Kwa muda wa wiki hivi ...kuona kimya ikabidi anitumie text .... nikaamua kumchunia kimya ....sipendagi dharau kabisa
 
Alipata dharura, ni sawa maana umetumia kichwa kufikiria.
 
Ukiambiwa tafuta pesa utatuona wabaya , aya komaa na stress zako mkuu.
 
Kilichokutesa hapo ni uongo na kukosa mawasiliano labda na huo utapeli, sio mapenzi.

Usichanganye mambo.

Hivi ni kweli ni sahihi kusema kuendesha magari kunaua sana, badala ya ajali zinaua? Je ni sahihi kusema tu bodaboda sio salama kabisa, au tuseme uendeshaji wa boda usofata kanuni za kujilinda na mavasi si salama kabisa!???
 
Uwe na li-mtu kama hili kwanini lisikuumize kichwa?

20230815_090115.jpg
 
Back
Top Bottom