Kwanini baada ya tendo la ndoa haifai kumbeba mtoto?

mind ur business

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
416
Reaction score
419
Zamani tuliwasikia wazee wetu wakilikataza jambo hili na mambo mengine wenyewe walikuwa wanasema (MWIKO).

Katazo hili la watu kushika mtoto baada ya kutoka kujamiana halikuwa bure lilikuwa na maana kubwa kwenye maisha ya kiroho. Si unakumbuka nilikwambiaga kuwa binadamu ni roho na mwili.

Mambo yote yanayotokea kwenye mwili wako kwanza huratibiwa kwenye roho ndio yakatokea mwilini. Sasa hapa nataka nizungumzie athari za kiroho anazopata mtoto akishikwa na mtu mwenye janaba au mtu ambae hajaoga baada ya tendo.

Tendo la ndoa ili litokee kwanza utangulizwa hisia ambazo huzalisha nguvu inayoleta hamu kwenye viungo, kiasi cha kuamsha viungo ambavyo huwa haviamki kwa kawaida. Lakini pia kusababisha viungo hivyo baadhi kutoa paka ute kwa ukali tu hisia.

Tusikilizane hapa sasa hizo hisia si kitu chenye kuonekana bali ni nguvu tu ambayo hata wewe mwenyewe nikikuuliza inatokea wapi hujui utanijibu mie husikiaga utamu tu hata sijui zinatokea wapi hisia.

Sasa hizo hisia zako nadhani huwa unaona ukali wake kiasi unatamka paka mizimwi ya kwenu ukiwa tendoni. Hizo hisia zako na za huyo unaekutana nae zikikutana zinazalisha nguvu kali zaidi ambayo hiyo nguvu hupozwa kwa maji ndio maana baada ya tendo ukaambiwa uoge.

Sasa kabla ya kuoga ukimshika mtoto hizo nguvu za hisia zenu zinakwenda kumuathiri mtoto na kumfanya mtoto awe dhaifu na hata afya yake kuzoroteka. Pia humdumaza mtoto na kumfanya ashtuke sana mara kwa mara. Fahamu hilo kwa leo kama utaki basi ila ukweli nimekueleza.
 
FB_IMG_16854389953413427.jpg

Mtaalam unamaanisha nikigegeda nisishike Mbupu mana ndio watoto wenyewe
 
Hakuna ukweli wowote kwenye hili zaidi ya usafi.
Mtoto atadhoofika ikiwa mwanamke atalala na wanaume tofauti tofauti na kumwagiwa shahawa ndani wakati mtoto hajaachishwa kunyonya.
Hii ni ndiyo mbaya sana.
Kifupi mtoto anakula shahawa za hao wanaume.
Shahawa za babake hakuna shida
 
Thread closed
 
Siyo kweli, hata mtoa mada naye kachemka, hakunaga kubemenda kwenye sayansi
 
Afya ya mtoto itadhoofika akikosa lishe/maziwa ya mama and not otherwise.
 
Zamani tuliwasikia wazee wetu wakilikataza jambo hili na mambo mengine wenyewe walikuwa wanasema (MWIKO).

Katazo hili la watu kushika mtoto baada ya kutoka kujamiana halikuwa bure lilikuwa na maana kubwa kwenye maisha ya kiroho. Si unakumbuka nilikwambiaga kuwa binadamu ni roho na mwili.

Mambo yote yanayotokea kwenye mwili wako kwanza huratibiwa kwenye roho ndio yakatokea mwilini. Sasa hapa nataka nizungumzie athari za kiroho anazopata mtoto akishikwa na mtu mwenye janaba au mtu ambae hajaoga baada ya tendo.

Tendo la ndoa ili litokee kwanza utangulizwa hisia ambazo huzalisha nguvu inayoleta hamu kwenye viungo, kiasi cha kuamsha viungo ambavyo huwa haviamki kwa kawaida. Lakini pia kusababisha viungo hivyo baadhi kutoa paka ute kwa ukali tu hisia.

Tusikilizane hapa sasa hizo hisia si kitu chenye kuonekana bali ni nguvu tu ambayo hata wewe mwenyewe nikikuuliza inatokea wapi hujui utanijibu mie husikiaga utamu tu hata sijui zinatokea wapi hisia.

Sasa hizo hisia zako nadhani huwa unaona ukali wake kiasi unatamka paka mizimwi ya kwenu ukiwa tendoni. Hizo hisia zako na za huyo unaekutana nae zikikutana zinazalisha nguvu kali zaidi ambayo hiyo nguvu hupozwa kwa maji ndio maana baada ya tendo ukaambiwa uoge.

Sasa kabla ya kuoga ukimshika mtoto hizo nguvu za hisia zenu zinakwenda kumuathiri mtoto na kumfanya mtoto awe dhaifu na hata afya yake kuzoroteka. Pia humdumaza mtoto na kumfanya ashtuke sana mara kwa mara. Fahamu hilo kwa leo kama utaki basi ila ukweli nimekueleza.
Tendo la ndoa kwa wanandoa halali ni Ibada Takatifu...sasa kama ni tendo takatifu linawezaje kuleta athari kwa Mtoto?...

Ndio maana Ndoa inaitwa Ndoa Takatifu..
 
Back
Top Bottom