Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mahusiano Yanaweza kudumu hata miaka 5 ila Mkishafunga Ndoa haipiti miezi miwili watu Washaachana hii inakuaga shida nini? Wanajamvi emu tupashe Moto experience zetu za mahusiano Je, watu...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale. Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde...
11 Reactions
85 Replies
4K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza niwape pole single mama katika kipindi kigumu mnachokipitia hasa pale mnapokuwa mmetelekezwa na mimba. Hakika kipindi hiko ni kipindi...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Mapenzi ni ya wawili tuuu.. Haiwezekani mtu mmoja awapende watu wawili ilihali ana moyo mmoja ni wazi kuna mmoja atadanganywa hapo! Moyo hupokea hisia za mtu mmoja tu kwa wakati mmoja.. Umiliki wa...
45 Reactions
82 Replies
7K Views
Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe. Sasa miaka 5...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi kwenye ishu kama hii unafanyaje wakuu. Huyu jamaa yangu wa siku nyingi (tumwite W) alikuwa na demu wake (tumwite D) wa kanda ya kati huko. Huyu binti alimpenda sana jamaa. Yaani...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza tabia za wafipa (Wanaume), make mi nimeolewa na mfipa na tumejaliwa mtoto mmoja, lakini mwenzangu ye akinuna anaweza kaa ata siku 2 na ukipiga simu hapokei na ndani ni mnuno ila...
5 Reactions
66 Replies
24K Views
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi...
2 Reactions
39 Replies
12K Views
Siku hizi naona kama ndoa zimekuwa na changamoto nyinngi.siyo ndoa changa wala kongwe.siyo za matajiri wala masikini.kiwango cha ndoa zenye matatizo zimezidi kuongezeka kila kukicha. Mbaya kuliko...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Unafikiri ipi ni maana sahihi? Msanii wa kiafrika anayechipukia kwa kasi, African Melki amehojiwa na moja ya kituo cha runinga cha mtandaoni (Online media) na kutoa maana ambayo aliifikiria huenda...
2 Reactions
0 Replies
733 Views
Niliandika maandishi haya nikiwa kwenye dimbwi kubwa la majonzi na huzuni, mboni zangu zikiwa zimelegea tepe kwa vundo kubwa la machozi yaliyokuwa yakitiririka muda mrefu shavuni mwangu. Akili...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Yale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome...
24 Reactions
401 Replies
138K Views
Hello ndugu zanguni Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if...
8 Reactions
70 Replies
3K Views
Hivi vitu huwezi fundishwa darasani. •Ukiona amepunguza Kulalamika sana kaa Ukijuwa kuna wahuni wanamsikiliza. •Ukiona amekutumia meseji ya “Nimekumiss” baada ya muda mrefu kaa ukijua...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Inashangaza sana wakuu. Nitawapa mfano: Mke wangu anafanya kazi somewhere, hata mshahara anaoulamba ni mnono, lakini nabaki kujiuliza pesa zake huwa anapeleka wapi? Sina shida nazo, ila natamani...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za...
2 Reactions
9 Replies
673 Views
Kuna wasichana wananuka, mmoja aliniambia eti kwa kizungu inakuwa au inaitwa Musk, tuelimisheni please!
1 Reactions
0 Replies
589 Views
Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Samaleko, Nyie wasichana wa mjin hivi ni nani aliwadanganya kila anaeomba namba anataka kukutongaza? Nawasikitikia sana mnapishana na fursa live.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Nilikuwa na aangalia taarifa ya habari sasa kuna mwanamama akasema akipata pesa atawasomeshea watoto wake. Sasa hapo nikawaza kama watoto wana baba yao na ni kichwa cha familia, kwanini mama...
3 Reactions
11 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…