Hii tabia mnaichukuliaje?

totoadela

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
350
1,076
Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini.

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao yao
 
Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje umemtongoza mwanamke ila baadae mnakula kuwa marafiki na huo mtongozo wako ukawa unahang tu ila marafiki wa karibu kiasi chake.

Swali ni inakuwaje kila asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unajua ya hela nini unakuta mtu anakuuliza Umekula nini unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini.

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nawasubiria wale wenye mapovuyao
Polee kwa changamoto ya kuulizwa umekula nn.
Inaonekana jamaa anakutesa sana kisaikolojia anavokuuliza umekula nn.
Bac akipiga tena akikuuliza umekula nn nenda ustawi wa jamii pale kamshtaki, anakuonea bure mdada wa watu.
 
Back
Top Bottom