Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Siku hizi naona kama ndoa zimekuwa na changamoto nyinngi.siyo ndoa changa wala kongwe.siyo za matajiri wala masikini.kiwango cha ndoa zenye matatizo zimezidi kuongezeka kila kukicha.
Mbaya kuliko kila unapojaribu kuwadadisi tatizo ni nini mwanaume anatupa lawama kwa mwanamke na mwanamke anatupa lawama kwa mwanaume .
Nashindwa kujua tunakwama wapi? Mbona ndoa za wazazi wetu waliishi kwa amani na furaha mpaka uzeeni.
Wataalaamu wa saikolojia.ustawi wa jamii.wazee wenye busara na viongozi wa dini hebu mshauri tatizo liko wapi? Mbinu gani itumike kunusuru taasisi ya ndoa kwa faida ya jamii kwa ujumla.