Mambo ambayo huwezi kujifunza shuleni.. Shauri yako

hamza mahundu

Member
Dec 20, 2018
58
114
Hivi vitu huwezi fundishwa darasani.

•Ukiona amepunguza Kulalamika sana kaa Ukijuwa kuna wahuni wanamsikiliza.

•Ukiona amekutumia meseji ya “Nimekumiss” baada ya muda mrefu kaa ukijua aliyekutana nae sio bora kama wewe.

•Brother, ukiona huwa hakuombi pesa ujue kuna miamba wanaombwa hizo pesa—99% ni omba omba siku hizi( mademu kausha damu)😁

Kipi tumesahau wajomba zangu.
 
Ni friction of the part grow so add pridiction kama hujaelewa in swali, hizo ni nadharia za hisia kuna siku natoka job mida flan night ghafla naona boda kucheki nyuma namuona kama wife kabla sijathibitisha nikaanza kunyongeka mawazo kibao inakuwaje wife anatoka huku na kamkumbatia boda kiasi kile.

Aisee niliishiwa nguvu kwa mawazo, sikutaka hata kumpigia vuu nyumbani nafika hom wife hayupo nikasema tayari kaenda liwa sikupiga simu wala kuuliza watoto hatua ya kwanza moja kwa moja bar gonga bia nikarudi home akaniuliza mbona umechelewa kurudi mume wangu.

Aisee alikula kipondo end the day nakuja kugundua wife home hakutoka siku hiyo isipokuwa pale niliporudi sijamkuta kumbe alikuwa nyumba ya jirani kafuata mahitaji na hata kwenye ile boda hakuwa wife ila walifanania muonekano kwahiyo mtoa mada jua kwamba kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.
 
Ni friction of the part grow so add pridiction kama hujaelewa in swali, hizo ni nadharia za hisia kuna siku natoka job mida flan night ghafla naona boda kucheki nyuma namuona kama wife kabla sijathibitisha nikaanza kunyongeka mawazo kibao inakuwaje wife anatoka huku na kamkumbatia boda kiasi kile.

Aisee niliishiwa nguvu kwa mawazo, sikutaka hata kumpigia vuu nyumbani nafika hom wife hayupo nikasema tayari kaenda liwa sikupiga simu moja wala kuuliza kwa moja bar gonga bia nikarudi home akaniuliza mbona umechelewa kurudi mume wangu.

Aisee alikula kipondo end the day nakuja kugundua wife home hakutoka siku hiyo isipokuwa pale niliporudi sijamkuta kumbe alikuwa nyumba ya jirani kafuata mahitaji, kwahiyo mtoa mada jua kwamba kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.
Ungeua mke wako kaka.
No research no actions to take tuongeze hili.
 
MKE wa MTU kumkumbatia mwanaume mwingine ambaye sio Baba yake, kakaake, au mtoto wake huoni kama kunatatizo?
 
Ni friction of the part grow so add pridiction kama hujaelewa in swali, hizo ni nadharia za hisia kuna siku natoka job mida flan night ghafla naona boda kucheki nyuma namuona kama wife kabla sijathibitisha nikaanza kunyongeka mawazo kibao inakuwaje wife anatoka huku na kamkumbatia boda kiasi kile.

Aisee niliishiwa nguvu kwa mawazo, sikutaka hata kumpigia vuu nyumbani nafika hom wife hayupo nikasema tayari kaenda liwa sikupiga simu moja wala kuuliza kwa moja bar gonga bia nikarudi home akaniuliza mbona umechelewa kurudi mume wangu.

Aisee alikula kipondo end the day nakuja kugundua wife home hakutoka siku hiyo isipokuwa pale niliporudi sijamkuta kumbe alikuwa nyumba ya jirani kafuata mahitaji, kwahiyo mtoa mada jua kwamba kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.
No research no say...
Kwanini ulichukua uamuzi wa kumpiga aiseeeee✍️✍️🤝
 
Hivi vitu huwezi fundishwa darasani.

•Ukiona amepunguza Kulalamika sana kaa Ukijuwa kuna wahuni wanamsikiliza.

•Ukiona amekutumia meseji ya “Nimekumiss” baada ya muda mrefu kaa ukijua aliyekutana nae sio bora kama wewe.

•Brother, ukiona huwa hakuombi pesa ujue kuna miamba wanaombwa hizo pesa—99% ni omba omba siku hizi( mademu kausha damu)😁

Kipi tumesahau wajomba zangu.
MAPENZI bana...
Kuna mda ukifika hayo yote hutozingatia.
 
Ni friction of the part grow so add pridiction kama hujaelewa in swali, hizo ni nadharia za hisia kuna siku natoka job mida flan night ghafla naona boda kucheki nyuma namuona kama wife kabla sijathibitisha nikaanza kunyongeka mawazo kibao inakuwaje wife anatoka huku na kamkumbatia boda kiasi kile.

Aisee niliishiwa nguvu kwa mawazo, sikutaka hata kumpigia vuu nyumbani nafika hom wife hayupo nikasema tayari kaenda liwa sikupiga simu moja wala kuuliza kwa moja bar gonga bia nikarudi home akaniuliza mbona umechelewa kurudi mume wangu.

Aisee alikula kipondo end the day nakuja kugundua wife home hakutoka siku hiyo isipokuwa pale niliporudi sijamkuta kumbe alikuwa nyumba ya jirani kafuata mahitaji, kwahiyo mtoa mada jua kwamba kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.
Hilo ni lako wewe mengine yapo variably
 
Hivi vitu huwezi fundishwa darasani.

•Ukiona amepunguza Kulalamika sana kaa Ukijuwa kuna wahuni wanamsikiliza.

•Ukiona amekutumia meseji ya “Nimekumiss” baada ya muda mrefu kaa ukijua aliyekutana nae sio bora kama wewe.

•Brother, ukiona huwa hakuombi pesa ujue kuna miamba wanaombwa hizo pesa—99% ni omba omba siku hizi( mademu kausha damu)

Kipi tumesahau wajomba zangu.
Fact
 
Hilo ni lako wewe mengine yapo variably
ni kwel kuna dem wa jiran hapa yeye anagawa sana lakin ukifika kwenye ndoa yake ni msikivu sana kwa mmewe na hata simu ikiita anamwambia mmewe apokee leo hy ukienda kwa mmewe umwambie mkeo anachepuka utakula mkong'oto na kesho hutokumbuka kuleta umbeya unajua kwanini mume haamin mkewe kuchepuka?
 
Wakitoka nje ya rules wapigeni mabomu,sitawafundisha tena mbinu jiongezeni.
 
Ni friction of the part grow so add pridiction kama hujaelewa in swali, hizo ni nadharia za hisia kuna siku natoka job mida flan night ghafla naona boda kucheki nyuma namuona kama wife kabla sijathibitisha nikaanza kunyongeka mawazo kibao inakuwaje wife anatoka huku na kamkumbatia boda kiasi kile.

Aisee niliishiwa nguvu kwa mawazo, sikutaka hata kumpigia vuu nyumbani nafika hom wife hayupo nikasema tayari kaenda liwa sikupiga simu wala kuuliza watoto hatua ya kwanza moja kwa moja bar gonga bia nikarudi home akaniuliza mbona umechelewa kurudi mume wangu.

Aisee alikula kipondo end the day nakuja kugundua wife home hakutoka siku hiyo isipokuwa pale niliporudi sijamkuta akumbe alikuwa nyumba ya jirani kafuata mahitaji na hata kwenye ile boda hakuwa wife ila walifanania muonekano kwahiyo mtoa mada jua kwamba kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.
Mapombe ya kipuuzi,,Kwani ulishindwa Fanya maamuzi Hadi ukanywe??na nafikiri usingekunywa hayo mapombe,,,ungefikiri zaidi na kufanya uchunguzi Kwanza kabla ya maamuzi ya kipuuzi yalitokana na unyaji wa mapombe na huwaga si maamuzi ya Mwanaume Haswa,,sasa mke wako hasemi lakini moyoni kakuona boya vibaya mnoo na ataanza kuwa na tahadhari na wewe hasa ukishabwia mapombe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom