Single Mama na kuwaambia watoto mabaya ya uongo wa baba zao

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kwanza niwape pole single mama katika kipindi kigumu mnachokipitia hasa pale mnapokuwa mmetelekezwa na mimba.

Hakika kipindi hiko ni kipindi ambacho mnapitia mengi sana.

Pia niwapongeze kwa kuamua kuwalea hao watoto na hamkuamua kuwatoa.

Lakini kuna hilo suala la kuongea maneno tena ya uongo na mabaya ambalo mmekuwa mkiwaambia watoto.

Hasira zenu mmekuwa mkizimalizia kwa kunena maneno mabaya tu.

Utakuta mtoto ni mdogo ila anaambiwa kwa hasira kuwa baba yako alikuwa ni mala...

Mmesahau ya kuwa kinywa kinaumba na mauti na uzima yapo kinywani.

Hii imepelekea kuwa na chuki kwa watoto juu ya wazazi wao wa kiume.

Imefikia mahali pa kuwaambia watoto kuwa wazazi wenu wamekufa ila wapo hai

Hili ndio janga lingine kwa kizazi cha watoto wanaolelewa na single mama.

Utakuta mwanamke aliachana na mwanaume ila sasa hasira zile anaharibu uhusiano kati ya baba na mtoto wake.

Inasikitisha sana kuona watoto wanakuwa wakiwa na visasi visivyo na ukweli.

Kuzaa na kuolewa ni jambo lingine ieleweke.

Muache hii tabia kwakweli, sio nzuri maana mnaharibu watoto.
 
Wewe umetelekeza mtoto hujui anakula nin, anavaa nin, ada inalipwaje.
Utakua na tofauti gani na mfu.
 
Naona kisu kimekupiga mpaka kwenye mfupa. Acha iyo tabia dada angu. Wapo wanaume wengi wameachiwa watoto na wazazi wenzao na wala hawana hayo mambo ya kumpandikiza mtoto chuki.
Wewe unamatatizo my love mim wala sina muda wa kuayeleza maisha yangu.
Acheni kutesa mabinti za watu utasema utamu walipata wao pekee.
 
Mwanaume hapaswi kuzaa na mwanamke kama hana mpango wa kuishi naye.

Wanaume siku hizi wanazaa zaa kama sungura na hawawajibiki, ni sawa tu wakisemwa vibaya maana ndivyo walivyo.
Mwanamke ndio hapaswi kuzaa namwanaume asie namakubaliano yakulea mtoto kumbuka jukum lakushika mimba nilamwanamke sie tunafata utelez tu....
 
Vijana hawaoni thamani ya damu zao. Unatelekezaje damu yako? PUMBAVU.
 
Back
Top Bottom