Kipi upelekea wanawake walio wengi kuwa wabinafsi ama wasiri hata kwenye mambo yasiyowafaidisha?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Inashangaza sana wakuu. Nitawapa mfano:

Mke wangu anafanya kazi somewhere, hata mshahara anaoulamba ni mnono, lakini nabaki kujiuliza pesa zake huwa anapeleka wapi? Sina shida nazo, ila natamani tu kujua. Coz mahitaji yake yote na ya mwanangu ni juu yangu japokuwa siishi naye. Hata pesa kwao huwa nafuatilia lakini hata kwao tu hawapatiwi maokoto, napo ni juu yangu. Swali la msingi, pesa anaweka wapi na lengo lake kuu hasa ni lipi? Ama anataka ajenge hotel?

Tuachane naye, turudi kwenye sekta ya moyo. Ni wagumu kueleza hisia zao kwa wawapendao. Kimachoniuma kuna binti nimemtongoza, alichonijibu ni kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na hisia nami, lakini sikufanya juhudi yoyote kumteka, nowdays amekwisha pata wa kumfariji. Kinachoniwazisha, mbona kipindi hicho cha nyuma sikuona hisia zake kwangu? Alikuwa ni mtu fulani hivi busy na mambo yake, hata salamu kunipatia ilikuwa ni ngumu

Naomba kuhitimisha kwa utoto huu. Hawaeleweki kama tendo la ndoa huwapatia utamu ama maumivu, ukihoji wanazunguka zunguka mbuyu tu Ukiuliza kama ni tamu ni kwanini wanaligeuza mtaji, eti nauli utoe wewe, umzingatie msosi, uharibu nguvu zako kumzagamua, halafu umpatie posho. Umuite gheto ajivute vute kuja n.k (Natania)

Haya bhana wakulungwa...
 
Hahaha......
 
Yani wanawake wote naisi wako hivyo mimi Kuna huyo yani atakama tunakula yeye anachukua msosi mwingi Mimi kiduchu Jana usiku eti nitoke nikamtumie hela namwambia Kuna vibaka eti toka hivyo hivyo
Ameshakufanya Mtumwa......we si unajifanya unapenda sana Mbususu yake?
 
Yani wanawake wote naisi wako hivyo mimi Kuna huyo yani atakama tunakula yeye anachukua msosi mwingi Mimi kiduchu Jana usiku eti nitoke nikamtumie hela namwambia Kuna vibaka eti toka hivyo hivyo
Ha ha ha toka hivyo hivyo , kwenye msosi duu huyo atakuwa gari bovu, mbona wanawake wengi si walaji kihivyo
 
Inashangaza sana wakuu. Nitawapa mfano:

Mke wangu anafanya kazi somewhere, hata mshahara anaoulamba ni mnono, lakini nabaki kujiuliza pesa zake huwa anapeleka wapi? Sina shida nazo, ila natamani tu kujua. Coz mahitaji yake yote na ya mwanangu ni juu yangu japokuwa siishi naye. Hata pesa kwao huwa nafuatilia lakini hata kwao tu hawapatiwi maokoto, napo ni juu yangu. Swali la msingi, pesa anaweka wapi na lengo lake kuu hasa ni lipi? Ama anataka ajenge hotel?

Tuachane naye, turudi kwenye sekta ya moyo. Ni wagumu kueleza hisia zao kwa wawapendao. Kimachoniuma kuna binti nimemtongoza, alichonijibu ni kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na hisia nami, lakini sikufanya juhudi yoyote kumteka, nowdays amekwisha pata wa kumfariji. Kinachoniwazisha, mbona kipindi hicho cha nyuma sikuona hisia zake kwangu? Alikuwa ni mtu fulani hivi busy na mambo yake, hata salamu kunipatia ilikuwa ni ngumu

Naomba kuhitimisha kwa utoto huu. Hawaeleweki kama tendo la ndoa huwapatia utamu ama maumivu, ukihoji wanazunguka zunguka mbuyu tu Ukiuliza kama ni tamu ni kwanini wanaligeuza mtaji, eti nauli utoe wewe, umzingatie msosi, uharibu nguvu zako kumzagamua, halafu umpatie posho. Umuite gheto ajivute vute kuja n.k (Natania)

Haya bhana wakulungwa...
Ni wa hovyo hovyo sana hawa Mbwa😤
 
Mbona hii mada ina vichwa viwili tofauti kwa mtu mmoja.

Kichwa cha habari cha kwanza unazungumzia Mke wako.

Kichwa cha pili unamzungumzia Demu ambaye anakuzengua.

Tulia kwenye Ndoa ofisaa ndio maana hata wife wako hakushirikishi kwenye pesa zake, anaona ueleweki kama Demu aliyekula Nauli ya mwanaume.
Mwanamke ukimjenga vizuri mbona pesa yake unakula vizuri tu
 
Yani wanawake wote naisi wako hivyo mimi Kuna huyo yani atakama tunakula yeye anachukua msosi mwingi Mimi kiduchu Jana usiku eti nitoke nikamtumie hela namwambia Kuna vibaka eti toka hivyo hivyo
😂😂😂 huyo sio Mwanamke, sifa ya kwanza ya mahusiano ni kulindana... Huyo anataka ukapigwe panga na vibaka
 
Back
Top Bottom