Wadada njooni hapa mjibu hii hoja

Wadada njooni hapa mjibu hii hoja

Sasa tukimpa namba kila anaeomba si itakua hatari mkuu? Kama hataki na namba yake baki na fursa yako si lazima
 
Samaleko,

Nyie wasichana wa mjin hivi ni nani aliwadanganya kila anaeomba namba anataka kukutongaza?

Nawasikitikia sana mnapishana na fursa live.
Kuna demu nilimuomba namba akachukua simu yangu akaandika halafu akajipigia akapata yangu akasevu, Sasa baada ya hapo sijawahi kumtafuta kuongea nae ni mpaka tukutane na kama anafikiri ntamtongoza anajidanganya maana namba yake sina kazi nayo au kamavipi niifutikie mbali Ili akatoe ushuhuda kwamba aliombwa namba hakutongozwa na hakutafutwa.
 
binafsi naweza kuwa na neno la unabii kwa mwanamke nikaomba namba.
lakini cha ajabu naonekana mtongozaji, so sad 😔
 
Back
Top Bottom