MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Ulifanya au ulichukua hatua ipi yule umpendae aliposema SIKUTAKI.
ukizingatia una sifa zote
Hakuna kitu ulichokosa kama mwanamke.
Na una mpenda sana.
Ulifanya maamuzi yapi?
ukizingatia una sifa zote
Hakuna kitu ulichokosa kama mwanamke.
Na una mpenda sana.
Ulifanya maamuzi yapi?