Imekula kwako kama mke wako ana Makundi ya Mashosti

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Ogopa sana aina ya wanawake ambao kutwa kucha wanaendekeza makundi ya ki rafiki wao wanaitana mashosti hawa wanawake ni hatari sana katika afya ya ndoa na huwa hawana adabu kwa waume zao.

Wakikutana kwenye vijiwe vyao wanajazana ujinga na upumbavu wanaanza kukosea adabu waume zao, wanaanza kujadili matango au vibamia vya waume zao na mambo ya kiuchumi, ndio sehemu kubwa wengi wao wanamopatia vishawishi.

Ushauri wa bure, kama mke wako ana tabia za kuendekeza ushosti na makundi ya hovyo mkataze mara moja.
 
Huwezi mchunga binadamu,kama akili yake ipo kuamini aina fulani ya maisha,hii aichagui jinsia.
Tupunguze sana matarajio kwa wenzi wetu,kama ulikubali kumuweka ndani naamini ulimchunguza na kulidhika,haya malalamiko inaonekana kuna mahali unafeli kama mwanaume.
 
Umeeleza vzr , nilichoandika hakihusiani na mimi ila nimeandika kutoka na uzoefu wangu wa maisha na mikasa mbalimbali nikiyoishuhudia ya wanandoa . Makundi ya marafiki yana haribu ndoa nyingi na sio tu upande wa wanawake hata kwa wanaume pia
 
Ama kweli Wanawake tumewashika pabaya sana Wanaume, kila mada ni Wanawake this, Wanawake that.... Mtu usiku kucha halali vizuri anawaza maneno ya kuandika kuhusu Wanawake,

Wanawake jeshi kubwa oyeeeeeee
Jeshi kubwa kivipi mfano mkiachiwa Dunia wenyewe mtaishi ?? , kila jinsia ina nafasi yake hakuna cha jeshi kubwa wala dogo , nilichoandika ni kutokana na uzoefu wangu wa maisha ya wanandoa ni kukumbushana tu mambo muhimu na wajibu
 
Hoyeeee
Jeshi la wajinga,wapumbavu
Wanaambiana ujinga na upuuzi
Hawashauriani mambo ya maana na maendeleo

Hoyeee
Zaidi kwa wanaoshauriana kuchepuka na kupeana tips zakufanya ili msishike mimba za njee

Hoyeee kabisa kwa wale mapimbi zaidi wanaoamua kubeba na mimba za nje

Shwainii
 
Punguzeni kulia lia kuhusu Wanawake mnakeraaa, mbona wao hawafungui nyuzi za kujiliza kwenu
 
Hoyeeee
Jeshi la wajinga,wapumbavu
Wanaambiana ujinga na upuuzi
Hawashauriani mambo ya maana na maendeleo

Hoyeee
Zaidi kwa wanaoshauriana kuchepuka na kupeana tips zakufanya ili msishike mimba za njee

Hoyeee kabisa kwa wale mapimbi zaidi wanaoamua kubeba na mimba za nje

Shwainii
Pole sana itakua umetoka kwenye familia ya hovyo sana
 
Pole sana itakua umetoka kwenye familia ya hovyo sana
Mama yangu na baba yangu ni wazima
Na wanaishi hadi leo pamoja
Mama yangu ameishi na mzee kwa kila aina za nyakati
Hakuna familia bora zaidi kutokea duniani kushinda yakwangu

Pole.
 
Mpaka unaamua kuoa mwanamke ambaye ana marafiki wa aina ya kusimanga watu na umbea wewe mwenyewe ulijiandaa kisaikolojia
 
Mama yangu na baba yangu ni wazima
Na wanaishi hadi leo pamoja
Mama yangu ameishi na mzee kwa kila aina za nyakati
Hakuna familia bora zaidi kutokea duniani kushinda yakwangu

Pole.
Mtu aliyelelewa kwenye familia bora hua hana makasiriko ya hivyo,
Kama unabisha rudia na mimi,

Wanawake jeshi kubwa oyeeeeeeee
 
Mwanaume kulalamika mambo kama hayo ni ujinga. Ukiona mwanamke wako hawezi kuheshimu ya ndani akachukua akili za kuletewa basi tatizo ni ww mwanaume uliechagua mwanamke asie na misimamo
 
Hoyeeee
Jeshi la wajinga,wapumbavu
Wanaambiana ujinga na upuuzi
Hawashauriani mambo ya maana na maendeleo

Hoyeee
Zaidi kwa wanaoshauriana kuchepuka na kupeana tips zakufanya ili msishike mimba za njee

Hoyeee kabisa kwa wale mapimbi zaidi wanaoamua kubeba na mimba za nje

Shwainii
Punguza hasira mkuu
 
Back
Top Bottom