Nimeamua kuachana na mambo ya mapenzi

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Wapenzi.

Mwaka unaisha huu nimeamua kuacha kujiuhusisha na mambo ya mahusiano.

Nifanye kilimo hasa mkoa wa Moro.

Faida umekuwa ndogo zaidi ya hasara.

Hasara nazokutana nazo.
Sijapata Mwanaume ananifikisha kunako.

Sipati ile kitu roho inapenda.
Natumia muda mwingi kuwekeza kumuwaza muda wote mtoto wa mama mkwe.

Sipati muda wa kuenjoi binafsi vitu vingi nafanya kwa ajili ya mwingine.

Jamani MAPENZI MZURI MIE YAMENISHINDA KABISA.

Nimechoka kuumizwa .

Moyo wangu unamaumivu
 
Tangazo limeeleweka wasubiri pm waje!
 
Na huko kwenye kilimo, siku wakiingia nzige urudi kutuambia kuwa

1. Umechoka kilimo kisa nzige/wadudu wanakula mazao.

2. Umechoka kuwaza mazao pekee kila kukicha.

3. Umechoka kugharamia pembejeo za kilimo.

4. Umechoka kuhangaishana na wafanyakazi wako wa shmbani.

5. Umechoka kupangiwa bei ya mazao na serikali wakati wewe hupangi bei ya pembejeo.

HAKUNA KITU UTAFANYA KISICHO NA CHANGAMOTO. KAMA UNAKIMBIA CHANGAMOTO BADALA YA KUZIKABIRI, BASI KILA SIKU UTAKUWA UPO KWENYE MBIO TU..!!
 
Back
Top Bottom