Mwanamke wangu ameoga nje usiku watu wamelala

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mmebarikiwa sana.

Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja.

Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo.

Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp?

Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?
 
Umeshindwa kuhoji mtu unaeshare nae viungo vya uzazi ukapata majibu...
Unapouliza huku uzi wako unaonekana ni 👇👇

2B9X.gif
 
Wakuu mmebarikiwa sana. Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja. Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo. Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp? Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?
Yaani umeshindwa kumbananisha akakupa majibu?, kumbuka uko naye na ndiye mtuhumiwa mbananishe atakupa majibu sahihi tu
 
Ulipomuuliza hakukupa majibu ya kueleweka. Unategemea sisi watu baki tukupe majibu ya aina gani?

Sikia, alikuwa anaogeshwa na mpangaji mwenzio. Ndiyo maana ulisika anaongea. Yaani kunyanyuka kumuangalia ulishindwa? Kweli wamekuloga.

Masharti ya mganga unaoga huku unanena. Siyo kuongea kwa sauti.
 
Wakuu mmebarikiwa sana. Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja. Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo. Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp? Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?
Atakuwa alienda kuchuma mboga
 
😂😂😂😂
Vitishoo tu Amna lolote Ndugu huyo Mke wako ana atabaki kuwa Mke wako achana na Imani potofu ya ushirikina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom