Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja...
Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani.
Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla...
Hivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi?
Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako...
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu.
Akawaambia, "nafikiri siwafahamu...
Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta.
Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa...
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane...
sehemu ya 1
“hiyo mimba utailea mwenyewe…mimi sihitaji mtoto kwa sasa na hasa siwezi kuzaa na wewe” yalikuwa ni maneno ya Millard kwa Sarah. Millard na Sara ni waaafrika waliokutana Denmark kila...
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri...
Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda...
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika...
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
Wakuu mmebarikiwa
Mimi ni kijana wenu na rafiki yenu wa siku zote.
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta kiburudisho, juzi nimekutana na mwanamke pisi kali tukatongozana tukakubaliana safi. Sasa...
Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo).
Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU...
Ego -when you will be driven by Ego either positive or negative you need to know you will sink on break up ,disappointment , Jealous and Etc
Kill Ego ur Ego at any price the all Damn shit in...
Happy birthday kwako (kwangu) Msanii
Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa...
Wana jf..
Naanza kwa kusema , wanawake sisi wanaume tuna nia njema na nyie tunapenda tuwaoe na muwe wake zetu ila punguzeni basi mizinga na kujiona mnahaki ya kuhudumiwa ilihali hamjaolewa na...
Huyu ndugu ni moja kati ya ndugu walio zifumania pesa. Basi bana kutokana na pesa zake kuwa nyingi jeuri na ujuaji vikaongezeka na maneno na majigambo ikawa ndio sehemu yake ya maisha.
Ila pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.