Wewe ni mbadala tu, sio chaguo la kwanza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kwenye pitapita zangu JF nikakutana na Uzi unaosema "kipi kilisababisha uachane na mwenza wako wa maisha".

Aisee! Ukiusoma ule uzi utagundua kuwa watu wanao oa/kuolewa ni Option tu na sio kwamba wanapendwa sana kuliko Maex.

Chengine nilichogundua ni kwamba, watu mpo na wake/waume za watu ndio maana matukio ya usaliti ni mengi sana kwenye ndoa za sasa.


Ushauri
KAMA KUNA UWEZEKANO OA/OLEWA NA BIKRA.


-MUUMBA HAKUKOSEA KUSEMA MSIIKARIBIE ZINAA, MADHARA YAKE NADHANI TUNAYAONA KWA KUKAIDI AGIZO LAKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom