Mbinu ya kumgundua mpenzi wako kama mchepukaji

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,857
Pale unapotaka kujua huyu niliye nae je ni muaminifu au ndio wale wale ili ujue unaishina mtu aina gani ili ujipange kisaikolojia kwa maana ukimjua utapunguza maumivu na mwisho ujiue andaa kasafari yaani usionekane nyumbani siku mbili.



Na ukiwa huko kaa kimya bila kumtumia ujumbe au kumpigia baada ya hapo rudi siku ya tatu yake nyumbani toka hapo usiku wake nunua {udi} nne chomeka pembezoni mwa kitanda alafu mwite mkae pale kwenye kitanda na umwimbie honey honey honey mara saba.



Toka hapo mwambie sasa rasmi tumeingia mkataba endapo mmoja wetu atachepuka atakufa siku hiyo hiyo na kabla hajafa atapita kukimbia mtaani uchi huku akiimba nimechepuka na..

End the day kifo ukishasema hivyo mwambie mkewangu nakupenda nimeona tujilinde, toka hapo tulia ngoja maoni majibu niliyopata kwa mkewangu ni haya baada ya kufanya hivyo baba nanii kwahiyo na wewe umeamua kuwa mshirikina kwani mimi ni ukoo wako, tumezaliwa tumbo moja ufanye upumbavu huo, wakuu siku ya tatu wife kanuna, naombeni mrejesho
 
Back
Top Bottom