Ex wangu anateseka, wote semeni tawile

sam green

Senior Member
Feb 21, 2020
176
256
Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,

Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa mazingra ya kuish,, nakwa naanda mke, kila kitu juu yangu na tupo mjini, ila nilipangaa, kivyangu nikampangia kivyake, lakn huduma zote juu yangu nawza tu end kulala kwake hata week, nzimaa, bhas narud kwangu, ni mwaka ukaishaa tukiwa na maisha hayoo,

Akaja kupata kaz, akaanza kubadilika, akaona aanaweza kuish peke yake, vibur dharau, mambo kede kede yaakaanzaa, mpka tukaachanaa, mambo yote yanaendleaa wazaz waikuwa wanajua kuwa nipo na binti yaooo, ila namtaftiaa kaz piaa ni mpenz wangu, yaan mke mtalajiwaa, tukaachanaa, taarifa zkfikaa kwa wazaz, waka mind, miez miwili kupit, akaanza kuomba msamah, akawashilika wazaz yakaishaa, tukaka km miez miwili, akaanza tena seke seke,

Nilipata tabu, na shida nying sana kuachana naee mpka kumsahau sababu ni mwanamke ambaye nilimpenda sanaaaa,

Hatimaee nikafanikiwa kumsahau, japo Anaish karibu na mazingra yangu ya kaz, nikaacha kumuona kabsa anajtiaa yupo busy na kaz, maisha yakasongaa, miez ikaptaaa, nikawa nipo fresh nimezoeaa kuish mwenyewe,

Akaja kunitaftaa, mwez wa 11 mwaka huu, kuw nimsamehee tusichukianee tuwe marafiki tu, mimi ndio niliyemtoa kjjn hawez sahau mambo mema nilomtendeaa, sifa kibaoo kazimwagaaaaa, nilisitaaa, kuwa na urafik naee sababu najua mwisho wake tutarudi tulikotokaaa ,

Lakin baadae nilikubali tukawa watu waku salmiaana, anakuja ofsn kwangu anapata huduma na hela naalipiaa kama wateja wengnee, mara ana nishirikshaa mambo yakee, lakin skuwa karibu kivile mda mwengne anawz nitaftaa, nisimjibuuu....

Sasa akaanza kuniulzaa, kuna stor zilivuma na mahusiano na wanawake kadhaa mtaani akawa ananiulzaa, kuhusu hao watu, nikamwambia mm sjui, lolotee, akawa na jaziba na hasiraaa, nikaona isiwe kesi, nikakataaa mawasiliano, kila mtu aendee na yakee!

Kila mtu kaasema bye byee .

Siku mbili sahz, mm natumia gb Whatsapp nikatuta ametuma sms Whatsapp alafu akafutaa,

Et "ya kujielezaa, ooh! Maisha kwangu yamekuwa magumu sana maelezoo kibaoo," na sijamtafaa mpak sahz nahis waliokuwa wanampa kivur ameyakanyagaaa!

Ila kiufup tuu huyu mtu hata iweje siwez kaa nikardiana anaeee nishaaa muaa kwenda mbeleeeeee
 
Kufurahia anguko la ex wako ni dalili mojawapo ya kushindwa kumove on
Jitahidi uendelee na maisha yako ndugu sam kijani
Siyo kweli. Mimi nili move on lakini huwa nafurahi kusikia anapatwa na mitihani ya Dunia maana aliniacha kwa dharau kisa sikuwa na Hela, aliowaona Wana hela wakamterekeza na mimba juu. Sasaiv anachoma mahindi kando ya lami karibu na soko la walevi
 
Siyo kweli. Mimi nili move on lakini huwa nafurahi kusikia anapatwa na mitihani ya Dunia maana aliniacha kwa dharau kisa sikuwa na Hela, aliowaona Wana hela wakamterekeza na mimba juu. Sasaiv anachoma mahindi kando ya lami karibu na soko la walevi
Kabsaa wakipataa helaa au kaz wanasahau kabsa walikotokaa, acha wasotee tuuu
 
Siyo kweli. Mimi nili move on lakini huwa nafurahi kusikia anapatwa na mitihani ya Dunia maana aliniacha kwa dharau kisa sikuwa na Hela, aliowaona Wana hela wakamterekeza na mimba juu. Sasaiv anachoma mahindi kando ya lami karibu na soko la walevi

Kumove on sio lazima uwe huna upendo nae
Hata chuki kwa ex ni kuto-move on

Yani maisha yake hayatakiwi kuwa na positive wala negative impact kwenye maisha yako
 
We tia mali nyingine ndani kali kuliko ex,ila asiwe mweusi tu kama kunguru.Maisha lazima yaendelee ,kama bado una kisununu ,umeshindwa kumove on wewe.
 
Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa mazingra ya kuish,, nakwa naanda mke, kila kitu juu yangu na tupo mjini, ila nilipangaa, kivyangu nikampangia kivyake, lakn huduma zote juu yangu nawza tu end kulala kwake hata week, nzimaa, bhas narud kwangu, ni mwaka ukaishaa tukiwa na maisha hayoo,?
Wakati unaandika ulikuwa unakimbizwa Mkuu?


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kaa nae mbali wala usimtafute waka kumuendekeza kila mtu afe kivyakee......mm x wamgu mmoja amenitafuta baada miaka 30....kunishukuru nilivyomsaidia....ameniahidi ata boost siku moja very soon kiji mtaji.....nilimwambia natamani kufuga .....
Asante
 
Huwa ni wapuuzi fulani hivi hawa wapenzi/wake zetu, wakituacha kwa maringo tu huwa hakuna rangi wanachoacha kuona huko wanakopakimbilia. Wanatia huruma kwa kweli inabidi tu uingie mfukoni uumpe chochote mkikutana. Kwanza huwa wanachuja ile mbaya mpaka hukumbuka wakoloni wao wa mwanzo waliowatoa rodini
 
Back
Top Bottom