Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,945
- 5,849
Ndugu zangu Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na rehema tunaomba utusamehe sisi wanadamu napia tunawaleta kwako ndugu zetu wa mkoani Manyara-Arusha wa kule hanang, Mungu endelea kuwa rehemu na kuwafariji wote walio jeruhika na waliopoteza wapendwa wao kutokana mud slide disaster pia tunaomba utuepushe na majanga yote ya kibinadamu yanayo dhuru mwili na roho. Amen
Ndugu zangu wana JF. Katika maisha yetu tumekua sisi wanaume tukiwakosea wapendwa wetu na kama inavyofahamika ni ngumu sana kuomba msamaha kwa maneno yaliyo nyooka bali sisi kama wanaume tunaomba msamaha kwa vitendo/ kwa mazungumzo ya amani pindi tunapogundua tumewakosea wapenzi /wake zetu.
Sasa kunatatizo limejitokeza la hawa wanawake zetu kututaka na kutushuruti tusujudu kuwaomba msamaha pindi tunapo kosea kwa kukiri kabisa kwa vinywa vyetu tena tuombe kwa namna hii.
* MKE /MPENZI WANGU NAOMBA UNISAMEHE NIMEKUKOSEA*
sasa je, ni sahihi mwanamke kukushurutisha wewe mwanaume njia ya kumuomba msamaha pindi unapotambua umekosea na siyo kutumia iliyo kawaida ya mwanaume kuomba radhi kwa vitendo vice versa?
karibuni