Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili...
4 Reactions
21 Replies
258 Views
Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28. Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani...
14 Reactions
60 Replies
878 Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
21 Reactions
2K Replies
283K Views
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
18 Reactions
126 Replies
1K Views
Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
21 Reactions
143 Replies
1K Views
Rafiki yangu anataka kuoa, lakini ana wazo tofauti kabisa kuhusu namna anavyotaka harusi yake iwe. Yeye na mchumba wake wamekubaliana kuwa hawataki sherehe kubwa wala watu wengi. Wanataka iwe...
2 Reactions
9 Replies
232 Views
Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza. 1.Damu ya hedhi Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka...
7 Reactions
53 Replies
484 Views
Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili...
74 Reactions
776 Replies
23K Views
“Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza… kwa nini kwenye harusi au sherehe, wanaume huwa tunafika tunatoa pesa kama tumekuja kulipa deni la taifa? 😂 Kwa nini kwenye harusi au sherehe, ukiona watu...
3 Reactions
17 Replies
210 Views
Salute mates... Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae...
222 Reactions
2K Replies
216K Views
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠 hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko...
37 Reactions
363 Replies
6K Views
kwenye picha nyingi za uchumba, , tunaona mwanaume akipiga goti moja huku akimvisha mwanamke pete. Hii imekuwa desturi inayotambulika katika tamaduni za Kimagharibi, ambapo kupiga goti huhusishwa...
2 Reactions
8 Replies
85 Views
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure. Ni tofauti sana na wanawake weusi. Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo. Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa...
8 Reactions
126 Replies
2K Views
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume. Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo. Sasa tamaa za kimwili zikizidi...
15 Reactions
142 Replies
3K Views
Wakuu hamjambo nyie madogo na wale wakubwa heshima yenu aisee.... Nikiwa nimemaliza degree yangu na matumaini kibao aisee haya maisha haya yamenifanya kuwa na nidhamu sana. 1. Mtiti ulianza home...
30 Reactions
283 Replies
13K Views
Swali la kama mume ana haki ya kumpiga mke wake linazua mjadala mkubwa katika jamii. Baadhi ya watu bado huamini kuwa mwanaume anaweza kumchapa mke wake kama njia ya kumwadhibu anapokosea au...
3 Reactions
20 Replies
182 Views
  • Closed
Hey people, Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo Naumia lakini sina jinsi
38 Reactions
577 Replies
10K Views
Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli...
1 Reactions
18 Replies
313 Views
Nyie hamzini hamna wachumba mpo tu kisela. Mtaishi miaka mingi maana matatizo ya kule kuzimu\ndoa mtaiepuka tagg kataa ndoa daima.
3 Reactions
14 Replies
242 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…