Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Visa vya Wajawazito kwa waume zao

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,703
Reaction score
19,589
Uzi maalumu wa visa tulivyo wahi kufanyiwa na wake zetu wawapo wajawazito,ambavyo baada ya kujifungua havitokei.

Na wewe mama,ulipokuwa mjamzito, uliwahi kumfanyia kisa gani mumeo mpaka leo ukikumbuka unacheka?

Je,ulifanya kimaksudi au kwa kudhamiria? Dah mke wangu ana mimba changa,ananichukia balaa akiniona.

Tiririsha kisa chako hapa. kwenye mastori mtakuwa naye Seran. Na log off
 
We kila leo unaniuza kwa wachangiaji wako! Mi mwenyewe nina mimba changa, nakosa usingizi kisirani changu chote nakihamishia jukwaani kutwa
Kesho unaanza kunilipa!
vumilia tu, visa vya mimba changa vinanifanya nipoze maumivu toka kwa mke wangu humu jf, endeleza mjadala mama we maana mwenzenu nimeagizwa maembe mabichi,sijui nayapata wapi.
 
Kwa kulinda afya ya mke wangu baada ya kujifungua, nilipiga nyeto kwa mwaka mzima, yeye pia alikuwa akinisaidia kwenye hilo.

Huu ni upendo mkubwa kwa mke wangu, kuhakikisha afya yake inarejea baada ya yeye kuniletea zawadi ya uzao.

Hii sio kisa, bali ni pongezi kwake.
 
Hapo ulikuwa umemrahisishia ex wa mke wako kazi,ukiwa simp guy Dunia hii utatumika kama useless
 
Niliamshwa ucku saa nne ucku nitafute maembe mabichi mbona hata yeye alibaki kucheka. Yaan niliondoka cmu nkaacha hapo nkaenda kulala guest hadi asubuhi na ilikua wikend ndo jmos inaanza nilirud jpil hajatoka kanisani nkajiandaa na kusafiri na firstborn coz walikua hawaelewani hata cku hiyo alienda church akamwacha home nkapita nae nikaacha ujumbe kuwa usitutafute tumeenda kutafuta maembe mabichi. Tulikaa tulikoenda wiki nzma kurudi akaanza kulia ati katumis. Tangu cku hiyo hajawai kunituma hata kama ni kijiko nimsogezee tukiwa mezan na kipo karbu na mim ataamka afate. Hata tukigombana afu ni mwambie acha ntakuletea maembe mabich atacheka had asahau tulichokua tunagombana
 
Uwii ulimuweza doohh🫢
 
Ngoja nasisi wakwetu watakapopata sijui watareact vp dosho12@leo dada unanishaurije wakati ukifka
Sina ushauri kenge wangu ni kamanda. Na mimba zake ziko kikamanda zaidi ni mwendo wa biere mpaka siku najifungua nakula kila kitu kasoro uchafu......... Mizagamuo mpaka siku ya kujifungua na uchungu wangu wa mwisho nilipiga Kili zangu nne nikaingia leba.
 
Niliamshwa, usiku wa manane nikamtafutie kuku wa kuchoma tena wa kienyej.
Nikakaonea huruma toka asubuhi hakajala, akaenda chuo, kurudi akala akatapika, usiku akashindwa kula..
Nikajizoa zoa nikaenda mnunulia.
nikafunga safari toka makulu mpaka chako ni chako..
 
Back
Top Bottom