Umepotea miaka mitano umerudi leo unanilaumu!

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,566
11,808
Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani.

Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla ikawa kimya kila namba niliyopiga haikupatikana nilienda alipokuwa anaishi, hola! Kazini kwake, hola! hatimae nikashukuru nikasema ninae huyu mwingne haina shida.

Ikapita miezi kama miwili mwingne nae akanambia p mimi nataka kuolewa umri unaenda na wewe sioni kama una mpango wote kuhusu hilo, baadae nikajua nae kama mimi tu tulikuwa wawili ila huko aliahidiwa ndoa, niliachwa hivyo.

Mwaka huu nimekutana nao tena hao wanawake wote wawili nyakati tofauti, mimi tayari nina mke na mtoto wenyewe bado hawaelewi. Cha ajabu wananilalamikia eti nimekuwa na haraka sana why sikuwasubiri!

Nikamuuliza huyu wa pili uliniacha mwenyewe ukitaka kuolewa ulitaka nikusubiri hadi uachike au, ananijibu ooh ulikuwa ni utoto ila sikufikiria sawasawa, ajabu zaidi wote sasa wameridhia kuwa side chicks.

Ila mimi siku hizi nimekuwa kama samaka, no reverse, kwanza miaka mitano mingi sana wameshakukongoroa mimi nije nihangaike na msimbe, no way.
 
Hawara hana talaka.
Kuna pisi moja naila nikiitaka muda wowote, kwa sababu ya uzembe wake mwenyewe unafanana na huo.
Alitaka kunibambikia mtoto miaka 10 iliyopita wakati bado nikiwa mwanafunzi wa chuo. Nikasanuka msala ukapita.
Miaka 4 mbele tukakutana, akajiliza nikamsemehe nikawa nakula tunda. Huyu demu ni pisi kali, mrefu, mweupe na yuko very bright kichwani. Nilitamani kuzaa naye kimkakati zaidi ili nipate "mbegu". Nikamwomba anizalie mtoto wa kweli sasa, ukiacha yule aliyetaka kunibambikia.
Ajabu huyu demu alikataa, akasema yeye hataki kuzaa mtoto mwingine bila ndoa kwa sababu anahisi sitamuoa kwa hiyo akija kuzaa mtoto wa 3 itakuwa kila mtoto na baba yake!!!!!
Anataka nimuoe ndio nimzalishe, nami nikagoma kuoa single maza bila kumpiga mimba kwanza atleast nipate nguvu ya kusema ana mtoto wangu. Tukaachana.

Akazaa mtoto mwingine na baba mwingine...........sasa anakuja anajiliza tena nimpende!!! Nikasema NO.
Nilikuomba unizalie ukagoma, basi mi na wewe hakuna ndoa, hapa ni kuzagamuana tu.
Ni mchepuko wangu mpaka leo, najipigia tu kimya kimya.
 
Aisee, mi nikishapita na demu tukiwagana ndo imetoka hiyo, wanawake matoleo mapya kila siku yanatoka
 
Kuna mmoja karibu juzi hapa baada ya miaka minne ya kunizingua karudi na mtoto juu analalamika wakati aliniacha mwenyewe.
wanawake wengi wa sasa wanazalishwa hovyo tena na wanaume za watu kwa ajili yakutamani maisha rahis ya haraka,
unamkuta binti ana miaka 20-25 ila yupo kwenye mausiano na mbaba mwenye miaka 45-55 alafu mkavu hata aibu hana!
 
Hawara hana talaka.
Kuna pisi moja naila nikiitaka muda wowote, kwa sababu ya uzembe wake mwenyewe unafanana na huo.
Alitaka kunibambikia mtoto miaka 10 iliyopita wakati bado nikiwa mwanafunzi wa chuo. Nikasanuka msala ukapita.
Miaka 4 mbele tukakutana, akajiliza nikamsemehe nikawa nakula tunda. Huyu demu ni pisi kali, mrefu, mweupe na yuko very bright kichwani. Nilitamani kuzaa naye kimkakati zaidi ili nipate "mbegu". Nikamwomba anizalie mtoto wa kweli sasa, ukiacha yule aliyetaka kunibambikia.
Ajabu huyu demu alikataa, akasema yeye hataki kuzaa mtoto mwingine bila ndoa kwa sababu anahisi sitamuoa kwa hiyo akija kuzaa mtoto wa 3 itakuwa kila mtoto na baba yake!!!!!
Anataka nimuoe ndio nimzalishe, nami nikagoma kuoa single maza bila kumpiga mimba kwanza atleast nipate nguvu ya kusema ana mtoto wangu. Tukaachana.

Akazaa mtoto mwingine na baba mwingine...........sasa anakuja anajiliza tena nimpende!!! Nikasema NO.
Nilikuomba unizalie ukagoma, basi mi na wewe hakuna ndoa, hapa ni kuzagamuana tu.
Ni mchepuko wangu mpaka leo, najipigia tu kimya kimya.
Sasa mbona huyo haku muoa, au.ukimuoa akazaa huyo mtoto wa 3 haitakuawa kila mtoto ana baba yake?
 
Mpumbavu sana yule. Tulikaa kama mwaka hatujawasiliana. Siku amenitafuta katika stori stori siku za baadae akaniambia ana mimba na amehangaika kuitoa imegoma.....nikamuuliza kwanini aitoe? Akasema jamaa hampendi wala nini na pia ni wa dini nyingine so haoni future. Akajifungua, yupo yupo tu jamaa hawezi kumuoa yule
 
Back
Top Bottom