Ukimtongoza mwanamke jiandae kuangushiwa gunia la matatizo mpaka ukimbie mwenyewe

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Wana jf..

Naanza kwa kusema , wanawake sisi wanaume tuna nia njema na nyie tunapenda tuwaoe na muwe wake zetu ila punguzeni basi mizinga na kujiona mnahaki ya kuhudumiwa ilihali hamjaolewa na mnakaa kwenu.

Ndugu naendelea ,Katika zama hizi kijana ukijichanganya ukamtongoza tuu mwanamke jiandae kukubaliwa na kuwekwa kwenye list ya mizinga polepole

Mwanamke hakukatai kwa sasa ila ana kuzungusha kidogo umuone siyo mwepesi kivile kumbe anakulia timing ukinasa tuu utashushiwa matatizo kibao mpaka ukimbie mwenyewe na ukiwa king'ang'anizi kwa kisingizio cha kumpenda hakika ni lazima ufe masikini kwa kukosa akili na unapoenda utachomwa moto

Unamfata mwanamke kwa nia njema kabisa ila yeye ana kushushia burungutu la matatizo kedekede na majaribu makali yanayo choma kama moto mpaka unaamua kujiuliza hivi kabla ya kumtongoza alikua anaishije

Wanaume tuendeleeni kutumia akili, kama hauna akili piga puchu kwanza mpaka upate akili ndiyo ufate hawa viumbe tofauti na hapo omba watu wazima na heshima zao wakutafutie mwanamke mwenye afadhali wa chapu chapu.
 
Hakuna namna Zaid ya kuchapa ilale mkuu manaa cku hzi wametugeuza mitaji ,Dem nilitongoza tupo Kwenye mahusiano cku ya tatu ananiambiaa niwe namtumia mama yake Kila mwisho wa mwezi sh laki Moja ya matumizi aiseé nilimwambiaa sawa nikajilia vyangu km wiki mbili wiki ya tatu nikaanza mpotezea mpk wiki ya nne ambapo ndio mwisho wa mwezi nshamuacha na laki haijatumwa maninaaa
 
Ulikomesha😂😂
 
Wana jf..

Naanza kwa kusema , wanawake sisi wanaume tuna nia njema na nyie tunapenda tuwaoe na muwe wake zetu ila punguzeni basi mizinga na kujiona mnahaki ya kuhudumiwa ilihali hamjaolewa na mnakaa kwenu.

Ndugu naendelea ,Katika zama hizi kijana ukijichanganya ukamtongoza tuu mwanamke jiandae kukubaliwa na kuwekwa kwenye list ya mizinga polepole

Mwanamke hakukatai kwa sasa ila ana kuzungusha kidogo umuone siyo mwepesi kivile kumbe anakulia timing ukinasa tuu utashushiwa matatizo kibao mpaka ukimbie mwenyewe na ukiwa king'ang'anizi kwa kisingizio cha kumpenda hakika ni lazima ufe masikini kwa kukosa akili na unapoenda utachomwa moto

Unamfata mwanamke kwa nia njema kabisa ila yeye ana kushushia burungutu la matatizo kedekede na majaribu makali yanayo choma kama moto mpaka unaamua kujiuliza hivi kabla ya kumtongoza alikua anaishije

Wanaume tuendeleeni kutumia akili, kama hauna akili piga puchu kwanza mpaka upate akili ndiyo ufate hawa viumbe tofauti na hapo omba watu wazima na heshima zao wakutafutie mwanamke mwenye afadhali wa chapu chapu.
Copy Car...............daadeki
 
Back
Top Bottom