Hivi mwanume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
693
1,582
Hivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi?

Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako?

Hamjifikiriagi?

Hata uwoga hamna Au hata kuhofia usalama wako hamna?

Wanaume mmefikia pabaya sana.

Hii tabia yenu ya kukwepa majukumu hii itawatokea puani.
 
Ivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi? Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako? Hamjifikiriagi? Ata uwoga hamna Au hata kuhofia usalama wako hamna? Wanaume mmefikia pabaya sanaa, Hii tabia yenu ya kukwepa majukumu Hii itawatokea puani.
Hili swali muulize Wema Sepetu alipata wapi ujasiri kumkaribisha yule aliyesimangwa na mama mkwe kwenye birthday
 
Unakuta na kuna wenzio wanalipa vile vile, siku magari yagongane.
Mie nahakikisha nikilipa au kuchangia nampa mwenye nyumba direct siku nikikinukisha napata support mpaka kwa mwenye nyumba ikibid naachwa mimi yeye fyuuu
Nikucheza tu mchezo wa akili huku ukitumia udhaifu wa mahaba

Yeye anaweza toa laki wewe ukatoa 50k then unatumia udhaifu wa mapenz unajfanya kidume unaenda lipia wew kwa mwenye nyumba na mikataba unaandika jna lako siku mkigongana unamgeuka unamtimua wew
 
Duh, mkuu unaonekana umri wako bado mdogo sana, samahani lakini.

Ila kwa kifupi hizi mambo usiombe tu zikukute.
 
Hivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi?

Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako?

Hamjifikiriagi?

Hata uwoga hamna Au hata kuhofia usalama wako hamna?

Wanaume mmefikia pabaya sana.

Hii tabia yenu ya kukwepa majukumu hii itawatokea puani.
JAMII FORUMS huwa inanipa raha sana 🙏🏾 😂
 
Mie nahakikisha nikilipa au kuchangia nampa mwenye nyumba direct siku nikikinukisha napata support mpaka kwa mwenye nyumba ikibid naachwa mimi yeye fyuuu
Nikucheza tu mchezo wa akili huku ukitumia udhaifu wa mahaba

Yeye anaweza toa laki wewe ukatoa 50k then unatumia udhaifu wa mapenz unajfanya kidume unaenda lipia wew kwa mwenye nyumba na mikataba unaandika jna lako siku mkigongana unamgeuka unamtimua wew
Hahaha..
Wewe kulipia haikupi guarantee ya kushinda. Kuna watu wanasomesha kwa gharama kubwa mwisho wanapigwa chini. Unaweza kukinukisha ukataimiwa, ukazidiwa nguvu ukapakwa mafuta bure, au mkaumizana!

Kama nyumba ni yako sawa..
Kama siyo yako, ujanja ni kuacha kuamini ghetto ya Ke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom