Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA.
Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje...
Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano;
1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba...
Habari ndugu wanajf?
Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.
Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto...
Habari za muda huu Wana jukwaaa. Tuhame kidogo kwenye migegedo tuje huku kwenye malezi.
Sisi watoto wa kiswahili na uswahilini tulivyolelewa tunajua wenyewe (ukitoa wale wa mboga Saba) ukizingua...
Wazee tufundishane hapa!
Kwenye maisha yetu Kama waume hii inatokea Mara nyingi tu. Mzee penzi limenoga kwa mchepuko, mara tu mimba hii hapa.
Wengine wanakataa ujauzito na mahusiano yanakufa...
Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi.
Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae...
Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana za wanaume wenzangu wakifurahia Maex zao kuharibikiwa na maisha baada ya kuachana kwao.
Nikajaribu kuchunguza na nikagundua kwamba, hao...
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo...
Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.
Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Wakuu mmebarikiwa sana
Mimi ni Kijana wa miaka 48, ninaishi kwa amani na wazazi wangu maana me ndio mtoto wao wa mwisho, mwezi uliopita nilipata mwanamke kibahatibahati tu basi katika kunogesha...
Hii ni maalum kwenu wanaume wote(hasa vijana) msiowajua vyema wanawake walivyo.
Wanawake hawaachi kufikiria. Kamwe hawazipi akili zao mapumziko.
Na huwa wanafikiri kwa ndimi zao zinazozunguka...
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu...
Naomba nimjibu mdau kwa ufupi wanawake wengi tunavolichukulia hili swala
Wanawake wengi naturaly tumeumbwa kwa roho ya huruma na kutunza familia. Pia tunapenda familia issetle kwa upendo na umoja...
Si maneno yangu bali ni maneno yaliyo katika wimbo wa Jimmy soul. Ukizungumzia hasara za kuoa mwanamke mzuri.
If you want to be happy for the rest of your life
Never make a pretty woman your wife...
Kwema Wakuu!
Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana.
Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho...
Wakaka wa kiislam dini inaruhusu ebu mjitahid kuoa wanawake wawili hadi wanne kupunguza ili janga la wadangaji na single mom.
Wanaume mpo wachache na miongoni mwenu pia kuna mashoga
Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa.
Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo...
Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu.
Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni
KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea
Hio ndio iwe kauli mbiu yako.
Sio...
Kuna aina ya watu kichwani hazichaji, ukiwana mahusiano na mtu wa aina hiyo we mchukulie kama sex toy hakuna la maana analoweza kukushauri nje ya 6x6[emoji3].
Ukiangalia na kwa upande wa wanawake...