Wanaume wanatakiwa kujifunza hili kuhusu wanawake

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,479
21,953
Hii ni maalum kwenu wanaume wote(hasa vijana) msiowajua vyema wanawake walivyo.

Wanawake hawaachi kufikiria. Kamwe hawazipi akili zao mapumziko.

Na huwa wanafikiri kwa ndimi zao zinazozunguka, na ndiyo sababu wanazungumzaga kwa mizunguko - wakijaribu kufafanua mawazo yao. Usitarajie majibu ya moja kwa moja kutoka mwanamke.

Kuna wakati wanakera sana. Lakini unapaswa kuwavumilia. Huwezi kuwa na mwanamke na kufurahia kikamilifu nafasi ya kibinafsi.

Wanawake wanaona na kuwaona wanawake wengine. (hapa simzungumzii mke au mpenzi wako bali namzungumzia MWANAMKE Yeyote) hata katika giza nene la usiku mwanamke huona, anaweza kujua unapomkodolea macho mwanamke mwingine, hivyo acha ujinga wa kukodolea macho madem ukidhani mkeo hajui huwa unafukuzia demu gani mwingine zaidi yake.

Mwanawake anapenda kuguswa, kubembelezwa na kukumbatiwa na kisha kupelekewa moto kisawasawa hivyo usiwe mtu wa kushangaa shangaa, wajibika!

Unapoondoka asubuhi anataka umpigie/umtumie ujumbe wakati wa mchana, na bado ukirudi jioni utumie muda mzuri pamoja naye jioni kwa Kumpelekea moto kisha analala !!!

Na kama vile mwezi, maisha ya mwanamke yanazunguka katika mizunguko. Damu ni uhai. Damu inapita ndani ya mwili wake, ndivyo hisia zake zinavyoongezeka. Labda hapendi kile alichopenda jana. Boy, sink it in, you can't fix it!

Ubarikiwe.
 
Kuna kipindi unavurunda sana
 
Na ili wasitupelekeshe ni vyema tukiwajua ndani nje.

Tunakumbushana tu mkuu.
Unajidanganya, mwanamke ni mpya kila siku.
Mwanamke ni taasisi nyeti na pana kuliko taasisi ya urais wa marekani.

Kujitaabisha kumfahamu mwanamke nje ndani unajitesa na unajidanganya.

Mwanamke hubadilika kutegemeana na mazingira...ndio maana huweza kuishi na kikongwe, jambazi, meja wa jeshi, wana masumbwi nk.

Niko palee ninawa..zoom mnavyojisumbua
 
Back
Top Bottom