Ukiwa kwenye mahusiano na mtu hajitambui huyo ni 'kifaa cha burudani'

Kuna aina ya watu kichwani hazichaji ukiwana mahusiano na mtu wa aina hiyo we mchukulie kama sex toy hakuna la maana analoweza kukushauri nje ya 6x6 na kwa upande wa wanawake wengi wenye feminism ya kuvutia unakuta nyuma kafungasha mashalaah ila Kwa bahati mbaya kichwani huwa ni zero brain

Unabidi kuoa na kutulia na mke mmoja au wawili

Binafsi hapa Tz sio tu wanawake hata wanaume hakuna MTU wa kukushauri jambo la kukujenga na kukutoa gizani Tanaziania tuna uhaba Wa Watu wenye maarifa
 
Unabidi kuoa na kutulia na mke mmoja au wawili

Binafsi hapa Tz sio tu wanawake hata wanaume hakuna MTU wa kukushauri jambo la kukujenga na kukutoa gizani Tanaziania tuna uhaba Wa Watu wenye maarifa
Unachosema ni sahihi mh . Unakutana na mtu mmepishana kwa kiasi kikubwa viwango vya utashi hapo ni changamoto . Na katika kutafuta mwenza ukizingatia Sana akili za mtu utachelewa Sana
 
Kuna aina ya watu kichwani hazichaji, ukiwana mahusiano na mtu wa aina hiyo we mchukulie kama sex toy hakuna la maana analoweza kukushauri nje ya 6x6.

Ukiangalia na kwa upande wa wanawake wengi wenye feminism ya kuvutia unakuta nyuma kafungasha mashalaah ila kwa bahati mbaya kichwani huwa ni zero brain.
Wangu anaongoza na najua kabisa ni zero brain shida kafungasha kweli kweli alafu kifuani anavipapai saa sita. Huko nyuma sasa alivyo bonyea na kuinuka ni shida.

Ila kichwani hakuna kitu kabisa yani yuko empty kweli kweli
 
Kuna aina ya watu kichwani hazichaji, ukiwana mahusiano na mtu wa aina hiyo we mchukulie kama sex toy hakuna la maana analoweza kukushauri nje ya 6x6.

Ukiangalia na kwa upande wa wanawake wengi wenye feminism ya kuvutia unakuta nyuma kafungasha mashalaah ila kwa bahati mbaya kichwani huwa ni zero brain.
We unataka mwanamke wa kukuhonga hela?

Kazi ni moja tu........sitaitaja hapa.
 
Back
Top Bottom