Mwanamke niliyemnunulia chupi 12 juzi leo kaniacha, nataka chupi zangu

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
883
3,066
Wakuu mmebarikiwa sana

Mimi ni Kijana wa miaka 48, ninaishi kwa amani na wazazi wangu maana me ndio mtoto wao wa mwisho, mwezi uliopita nilipata mwanamke kibahatibahati tu basi katika kunogesha penzi letu nikaenda kumnunulia chupi dazeni nzima kwa elfu 9 kwa kweli ni chupi nzuri sana maana ni nyepesi na zinavutika mno.

Sasa jana kaniandikia sms kuwa kapata Mwanaume mwingine bora kuliko mimi, nimeamua kukubaliana na ukweli ila sasa nataka zile chupi zangu 12, hata kama kashazivaa mbili yaani juzi na jana basi nazitaka hivyohivyo mtumba nitajua mwenyewe nazipeleka wapo.

Naombeni msaada wenu anirudishie chupi zangu.
 
Wakuu mmebarikiwa sana

Mimi ni kijana wa miaka 48, ninaishi kwa amani na wazazi wangu maana me ndio mtoto wao wa mwisho, mwezi uliopita nilipata mwanamke kibahatibahati tu basi katika kunogesha penzi letu nikaenda kumnunulia chupi dazeni nzima kwa elfu 9 kwa kweli ni chupi nzuri sana maana ni nyepesi na zinavutika mno.

Sasa jana kaniandikia sms kuwa kapata mwanaume mwingine bora kuliko mimi, nimeamua kukubaliana na ukweli ila sasa nataka zile chupi zangu 12, hata kama kashazivaa mbili yaani juzi na jana basi nazitaka hivyohivyo mtumba nitajua mwenyewe nazipeleka wapo.

Miaka 48 bado unajiita kijana?

Halafu unazidai chupi ulizomnunulia?

No wonder umeachwa!
 
Wakuu mmebarikiwa sana

Mimi ni kijana wa miaka 48, ninaishi kwa amani na wazazi wangu maana me ndio mtoto wao wa mwisho, mwezi uliopita nilipata mwanamke kibahatibahati tu basi katika kunogesha penzi letu nikaenda kumnunulia chupi dazeni nzima kwa elfu 9 kwa kweli ni chupi nzuri sana maana ni nyepesi na zinavutika mno.

Sasa jana kaniandikia sms kuwa kapata mwanaume mwingine bora kuliko mimi, nimeamua kukubaliana na ukweli ila sasa nataka zile chupi zangu 12, hata kama kashazivaa mbili yaani juzi na jana basi nazitaka hivyohivyo mtumba nitajua mwenyewe nazipeleka wapo.

Naombeni msaada wenu anirudishie chupi zangu.
Pole kijana wa miaka 18.🤣
 
"Nzuri zinavutika"

Unataka uzivae?
 
Wenzio wananunua viwanja 12 na vogue 25 wanaachwa na wanacheka na kufurahi wewe unalia

Hivi kuna raha kubwa kwa Mwanaume kama kuhonga?

Haya futa machozi, uanzie kwa balozi, mwenyekiti wa kijiji/mtaa, Diwani na kuendelea ukiwa na barua za kutaka kurudishiwa chupi zako

Kwanza ni za cotton?
 
Mwambie nguo ya kuazima haistiri matako,
Kakuacha wewe kaenda kwa mwingine huyo atakaekuwa anamvua chupi ndio amnunulie chupi.
Chupi zetu tunazitaka, akuvulie akuoe na za nyumbani ukachukue.. Usikubali ubwege mwanetu, yaani unune chupi(kificha utamu) halafu mshikaji amvue kizembe tu, haikubaliki.
Asante mkuu ushauri wako unanipa nguvu ya kudai chupi zangu, hapa asubuhi nataka niende mahakama ya mwanzo nikafungue kesi ya madai, kaka yangu mkubwa ni mwanasheria atanisaidia mdogo wake nipate haki yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom