Wakaka wa kiislamu oeni wake wawili mpaka wanne

achiiachii

Member
Sep 11, 2022
48
195
Wakaka wa kiislam dini inaruhusu ebu mjitahid kuoa wanawake wawili hadi wanne kupunguza ili janga la wadangaji na single mom.

Wanaume mpo wachache na miongoni mwenu pia kuna mashoga
 
Screenshot_20231205-101752.png
 
Wakaka wa kiislam dini inaruhusu ebu mjitahid kuoa wanawake wawili hadi wanne kupunguza ili janga la wadangaji na single mom.

Wanaume mpo wachache na miongoni mwenu pia kuna mashoga
Suala sio kuoa! Utawamudu? Malazi! Mavazi! Chakula! Changamoto zao! Kawaida mke mmoja sawa!
 
Nadhani badala ya kuwashauri hvy, naona ni busara wakiwa na tamaduni ya kuishi na wake zao kwa ndoa ya kudumu kwa sababu hawa Waislamu ndio chanzo kikubwa cha single mama na wanawake walioachika.
Waislamu wanaoa leo then kesho ni jambo la kawaida kukuta wameachana, wanaoa kwa sababu ya mwezi Ramadhani baada ya hapo unaachwa.
 
Umri wako tafadhali Kuna mtu anataka mke ila yeye umri 49yrs.
 
Back
Top Bottom