Hawa wanawake tabu tupu jamani

Hawa wanawake tabu tupu jamani

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi.

Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae sahani moja aisee ni kinyaaa.

Mbususu ndio imekua intersection point ya mataji na mafukara ,wachungaji na waganga, wenye akili na wendawazimu, wachafu na wasafi
..yaani wote hawa kinacho tukutanisha ni k.

Kapo muhusika kanigomea kuwa hawezi kudinywa na huyo jamaa ila nilivyo muona jamaa anakila dalili za kumla huyu demu na anampenda

At least hata jamaa angekua kama mimi au zaidi yangu ningejiona mwamba ila hapa mwenzenu nimepigwa na radi.

Ladies kuweni na standards bana duu

NB
ieleweke sijachapiwa cos na mimi ni mwizi kama waizi wengine. But I have standards...simba hawezi kula sahani moja na fisi hata hiyo sahani iwe nzuri vipi
 
Ulitakiwa uishie hapohapo ulipoandika "Sikatai kushea" na sio kuongeza maneno mengine Mkuu.

UMEKUBALI KUSHEA BASI ENDELEA KUSHEA NA WANAUME WENZAKO (ACHA UBAGUZI).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Utajisikiaje umekata umekata tiketi VIP ila ukipanda unakuta kila mtu kapanda na wengine wamepakatia mabata mkononi
 
Utajisikiaje umekata umekata tiketi VIP ila ukipanda unakuta kila mtu kapanda na wengine wamepakatia mabata mkononi
Mkuu umeruhusu wewe mwenyewe Kutukanwa, kwanini sasa unachagua Matusi ya kutukanwa?

ACHA WAKUTUKANE WAPENDAVYO, MAANA NIWEWE NDIO UMERUHUSU HALI HIYO IWEPO.

Umekubali ku-share acha ubaguzi (SHEA NA KILA MTU).


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Job true true [emoji1][emoji1]
Mkuu umeruhusu wewe mwenyewe Kutukanwa, kwanini sasa unachagua Matusi ya kutukanwa?

ACHA WAKUTUKANE WAPENDAVYO, MAANA NIWEWE NDIO UMERUHUSU HALI HIYO IWEPO.

Umekubali ku-share acha ubaguzi (SHEA NA KILA MTU).


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
I have standards mzee
 
mchochezi__wa__instar_p_Cjpuvf5qnZc_2.jpg


IMG_20220913_080145_914.jpg


1686296571639.png


Screenshot_20230523_091331.jpg


IMG_20230716_085154_262.jpg

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
#UkichapiwaKausha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom