Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA.
Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje? Ataona humuamini kabisa. Kwa sisi vijana ambao hatujaoa, tafadhali tukioa au tukiwa na familia tusithubutu huu ujinga wa the so called DNA test, tutaumia. Mwanamke akishakuambia mtoto ni wako, lea, ni haki yako.
Imagine mtoto ana age of 5 unampima, ameshakuzoea na kukupenda, majibu yanatoka si wako, utajisikiaje?
Haya mambo ni mpango wa Ibilisi kuharibu ndoa na familia... ninaomba tuyaache mara moja...si hulka ya Muafrika!.