Kwanza kabisa shukrani za dhati kabisa zimuendee maumba wa mbingu na ardhi..
Mimi ni mlinzi katika moja ya apartment zilizopo masaki Dar es Salaam, nilipata mafunzo yangu ya mgambo mkoani Pwani...
Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo.
Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta...
Ndugu katika ujenzi wa taifa na umoja wetu wa Jf.
Ukipishana nao huku na huko utagundua macho yao yanalenga kwenye zipu zetu huku midomoni wakiwa na maneno matamu kusifia matango makubwa na...
Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje.
Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa...
Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba.
Credit: WasafiTv
Kwakweli mzazi yule nilishamsamehe ila sijawahi kumsahau kwa kupotea katika umri wote wa makuzi yangu.
Halafu bila hata aibu siku ya harusi katokea![emoji15]
Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member.
Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya...
Wakuu kwema?
Aisee kati ya kitu kinakera ni kukutana na mwanamke aliekeketwa. na inashangaza sana kuona kwamba bado kuna jamii zinazokeketa mpaka Leo hii.
Hapa nilipo wanawake karibu wote...
Hawa majamaa zangu wanambwembe sana mix misifa ya kutosha utafikiri wana undugu na wakina
Martin Lawrence. Sasa siku moja walinishtua tushuke maeneo ya sokomatola (kwa wenyeji wa mbeya wanakujua...
Utangulizi
Nimekua nikisoma habari mbalimbali katika mitandao ya kijamii, katika Jambo ambalo linanipa maswali ni mabadiliko ya vigezo vya kuoa au kuolewa
Wakati nikiwa kijana mdogo kuna maswali...
Habari zenu
Kuna demu fulani hivi tabia zake zimenishtua, yaani yeye hapendi mapenzi ya taratibu, anapenda fujo kinoma, haswa kitandani.
Ikifika muda wa sex yeye anataka fujo, hataki zile za...
Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day...
Mahusiano ya kimapenzi ni sehemu nyeti sana ya maisha ya mwanadamu na ndipo sehemu kubwa ya Maisha hufanyika au ni muda mwingi huwa tunatumia katika kufanya maisha yetu.
Kuna watu wanaopata...
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na...
Kwema Wakuu!.
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat...
Mambo vipi wanajumuiya ya JF?
Kwa mara nyingine tena niwaalike kwenye interview!!
Leo mgeni ni mmoja tu!
So naomba uchaji uwepo,
Mgeni wetu leo ni lara 1
Mada: Mapenzi Na Pesa..
Naamini...
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula...
■ Kama umeenda kufanya mapenzi na mdada anekujua wewe ni tajiri, hakikisha ile kondomu mlio tumia usiache hata kwenye dustbin. Ichukue na uitupe chooni na ukiflash kabisa. Tofauti na hapo...
Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili nikiendelea kula kitabu na kufurahia maisha ya chuo bila stress na bata za chuo zikiendelea kama kawaida.
Basi nilipanga mtaani kwenye nyumba ambayo...