Ukishakuwa tajiri halafu mwingi wa wanawake, fanya haya kutorubuniwa nao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
■ Kama umeenda kufanya mapenzi na mdada anekujua wewe ni tajiri, hakikisha ile kondomu mlio tumia usiache hata kwenye dustbin. Ichukue na uitupe chooni na ukiflash kabisa. Tofauti na hapo atachukua ile kondomu ajiingizie manii ili apate mimba yako au anaweza chuku manii zako apeleke kwa mganga.

■ Usipende kupangishia michepuko huku ukifanya kambi kwake mara kwa mara. Kaa utambue atafanya lolote lile ili awe sehemu ya mali zako. Mchukulie mchepuko kihuni kama vile mahusiano yenu yalivyo ya kihuni kwa maana sio mke wako ni mtu anaetuliza makali ya mihemuko yako.

■ Hakikisha usifatalie wake za watu. Kuna kesi nyingi duniani za mume akishagundua mke wake anatoka na wewe, anafanya plan ya yeye kukufamania na mke wake. Akishafanikisha kukufamaniwa anaweza kukutishia kukuaa, kukudharalisha au kukudhuru hadi pale utakapompa kiasi flani cha pesa ndio akuache mambo yaishe.

■ Kama una ulevi wa ngono sana, kuwa makini usitengeneze kibanda kwa wadada kirahisi rahisi. Angalau uwe unanunua escorts wa hadhi yoyote unayotaka ile kukuridhisha hamu zako zote.

■ Ukishakuwa na fedha nyingi sana unakuwa kama sumaku kwa wadada wa mjini. Kwa hio hata kama unapenda sana pisi kali usijiweke open sana katika uwepo wa kuwakarabisha. Inatakiwa uwe silent hunter sio unachekekea wadada na kuwa charming nao sana kitachofatia ni kuwa na chapa ya womanizer mtaani.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni sawa na mtu kuamini kuwa tajiri kwake kila siku anakula nyama na soda.

Kumbe tajiri na mchicha ndo haswaaa pete na kidole😆😆😆😂.

Mwenye shida nyingi ndiye anayezitafuta raha kwa nguvu sana. Lakini asiye na shida, tena tajiri mwenye FURAHA: Hizo raha amewaachia wenye shida wazihangaikie.

Mi nnawaangaliaga hata wasanii, nikiona mtu anahangaika na kurukaruka na huyu mara yule huwa nnajua tu. Ako na shida mingi sana ndo maana anaitafuta raha🤨🤔

Kuhusu furaha atakuwa baaado sana kuipata. Vijana ijueni na ipateni furaha. Ili msihangaishwe na hizi shida na raha.

Nimeongea mimi
-Mshauri binafsi wa vijana wa Taifa hili
 
Back
Top Bottom