Soma kisa cha kuchekesha cha majamaa zangu

Jan 31, 2024
42
119
Hawa majamaa zangu wanambwembe sana mix misifa ya kutosha utafikiri wana undugu na wakina
Martin Lawrence. Sasa siku moja walinishtua tushuke maeneo ya sokomatola (kwa wenyeji wa mbeya wanakujua huku) kuna mshkaji kati yetu alikuwa anaenda kuonana na manzi yake walikuwa wamekumbukana maana demu toka atoke chuo walikuwa hawajawahi kuonana.

Siku ile tuliamua tupige tu mguu kutoka airport ya zamani mpako soko matola alafu mida yenyewe ilikuwa ni saa moja na nusu usiku ndo tunatoka pande za airport ya zamani.washkaji tulikuwa kama wanne kwa hiyo tulijiamini kwamba hata tukivamiwa na vibaka au majambarika basi tunaweza kuwavimbia kidogo japokuwa kwenye kundi letu hilo kuna jamaa yetu mmoja mkono alikuwa anaujua kwa hiyo tulikuwa tuna imani naye kwamba anaweza kutubeba.

Sisi wengine tulikuwa ni unga limited yaani tukirusha ngumi moja pumzi tayari imekata huku mapigo ya moyo yakikimbia kwa speed ya duma aliyemuona sungura porini.sasa tulienda soko matola jamaa akaonana na manzi wake wakapigana mabusu mix romance za kutosha tukawa tunarudi kwa mguu ile tumefika pande za Mafiat (dada poa wanapojiuza) walivyotuona wakatukimbilia na vinguo vyao vifupi mara kaka karibuni tutawapa raha mtaenjoy mix maneno mengi.

Kwenye kundi letu kuna mshkaji wetu mmoja alikuwa na misifa alafu ana lisauti likali kweli tunakuta kaanza kuwapiga vibao vya matako na makonzi ya kichwaani wale dada poa huku akiwaambia ”yaani hamtaki kuolewa mnataka kuendelea kutunyonya buku tano tano zetu eeh, alafu hivyo vinguo vifupi mnamvalia nani eeh, wazazi wenu au ndg zenu wanajua mnayoyafanya hapa eeh" (kumbukeni hayo maneno anayaongea huku wale wadada wakiendelea kupigwa vibao vya matako na makonzi ya kichwa) basi sisi ilibidi tumvute pembeni mshkaji maana hata sisi tulikuwa tumeduwaa hatujui jamaa aliwaza nini.

NARUDI JAMANI(kuwaambia nini kilitukuta baada ya hilo tukio)
 
Jamani nisameheni kwa uandishi mbovu maana mimi ni member mpya humu jf bado sijaizoea jf
 
Kmmmk wanasema kaka twende show, afu wanakuvuta upenuni mwakanisa. Ni waongo balaa nilisikia mmoja anasema kaka Mimi ni bikra ingiza pole pole😡
 
kabla ya kuendelea na story ningependa kuwaomba radhi jamani kwa uandishi mbovu nafikiri hili linatokana na ugeni wangu humu.pia nikili sijatumia simu kubwa muda kidogo jamani nilikuwa natumia simu ndogo nafikiri wengi mnajua purukushani za kuanza kutumia hizi simu zetu hizi za wazungu
Basi tuendelee na story yetu ambayo itakuwa sehemu ya mwisho(soma kisa cha kuchekesha cha majamaa zangu).Basi bwana baada ya jamaa yetu kumvuta pembeni tukamwambia G mbona umezingua umefanya nini sasa.jamaa yetu huyo jina lilikuwa limeanzia na G sasa jamaa yeye tulivyomwambia vile tukakuta anatucheka huku akituambia” mimi nilikuwa navipa somo tu vile vidada maana havielewi”.sisi tulikuwa hatuna cha kufanya na vile ambavyo tunajua mshkaji ni mtu wa utani kwenye mambo ya serious yeye always analeta utani ikabidi tumwambie tusepe tu.
Sasa ile tumetembea kama dakika tano tunakaribia lami ili tuvukuke upande wa pili tukakuta majamaa kama wanne wanatufuata nyuma huku wakiwa speed nafikiri walituhesabu.sasa ile kutufikia wakatuambia”oya simameni tunashida na nyie”ikatubidi tusimame.swali la kwanza walilotuuliza”mbona mnawazingua masister zetu wamewakosea nini”
Jamani mimi nilivyosikia tu ile kauli nikajua tumeshayatimba kwa wahuni wa mafiat kwa sababu kwa mbeya mjini unavyotaja sehemu ambayo watu wanapenda kupigana basi ni mafiat.Naongea hivi kwa sababu mafiat niwewahi ishi(hii pia ilinisaidia kwenye hili varangati).ww uliza kwa mtu yoyote anayetokea mbeya mjini atakuambia ni sehemu gani ni hatarishi kutembea usiku basi atakujibu ni Mafiat.Eneo la mafiat ni kama vile kuna kalaana fulani sijui niseme au sijui nisemeje yaan kizazi cha mafiat na undava wake huwa hakipotei aisee.vijana wasumbufu wanaweza wakamatwa wakawekwa lupango mkasema sasa mafiat itatulia sasa lakini wapi unakuta wameibuka wengine.
Wadada wanaojiuza mafiat wanaconection kubwa sana na wahuni wa mafiat.kwa hiyo hata kama wewe ni mzee wa kuchukua totoz pale inabidi uwe makini sana usije ukamzingua huyo dada hata kama kama mkienda naye vyumbani huko ukapiga tako moja alafu akakuambia tayari elfu kumi yako imeisha ww kubali tu usilete ujuaji eti ooh dada mbona mimi sijamwaga nirudishie hela yangu unaweza ukabakwa na wahuni rafiki yangu.
Jamani nisameheni nilipanga nimalizie sasa hivi lakini sitaweza nafikiri nakuja episode ya mwisho kumaliza kabisa kuonesha wale majamaa tulivyokutana nao kilitokea nini.
 
Karibu ushuani
 
Hawa majamaa zangu wanambwembe sana mix misifa ya kutosha utafikiri wana undugu na wakina
Martin Lawrence. Sasa siku moja walinishtua tushuke maeneo ya sokomatola (kwa wenyeji wa mbeya wanakujua huku) kuna mshkaji kati yetu alikuwa anaenda kuonana na manzi yake walikuwa wamekumbukana maana demu toka atoke chuo walikuwa hawajawahi kuonana.

Siku ile tuliamua tupige tu mguu kutoka airport ya zamani mpako soko matola alafu mida yenyewe ilikuwa ni saa moja na nusu usiku ndo tunatoka pande za airport ya zamani.washkaji tulikuwa kama wanne kwa hiyo tulijiamini kwamba hata tukivamiwa na vibaka au majambarika basi tunaweza kuwavimbia kidogo japokuwa kwenye kundi letu hilo kuna jamaa yetu mmoja mkono alikuwa anaujua kwa hiyo tulikuwa tuna imani naye kwamba anaweza kutubeba.

Sisi wengine tulikuwa ni unga limited yaani tukirusha ngumi moja pumzi tayari imekata huku mapigo ya moyo yakikimbia kwa speed ya duma aliyemuona sungura porini.sasa tulienda soko matola jamaa akaonana na manzi wake wakapigana mabusu mix romance za kutosha tukawa tunarudi kwa mguu ile tumefika pande za Mafiat (dada poa wanapojiuza) walivyotuona wakatukimbilia na vinguo vyao vifupi mara kaka karibuni tutawapa raha mtaenjoy mix maneno mengi.

Kwenye kundi letu kuna mshkaji wetu mmoja alikuwa na misifa alafu ana lisauti likali kweli tunakuta kaanza kuwapiga vibao vya matako na makonzi ya kichwaani wale dada poa huku akiwaambia ”yaani hamtaki kuolewa mnataka kuendelea kutunyonya buku tano tano zetu eeh, alafu hivyo vinguo vifupi mnamvalia nani eeh, wazazi wenu au ndg zenu wanajua mnayoyafanya hapa eeh" (kumbukeni hayo maneno anayaongea huku wale wadada wakiendelea kupigwa vibao vya matako na makonzi ya kichwa) basi sisi ilibidi tumvute pembeni mshkaji maana hata sisi tulikuwa tumeduwaa hatujui jamaa aliwaza nini.

NARUDI JAMANI(kuwaambia nini kilitukuta baada ya hilo tukio)
Kwa nini heading umeandika kisa cha kuchekesha na wala hakichekeshi? Ungesema tu kisa au mkasa wa rafiki zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom