Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,360
3,400
Habari zenu

Kuna demu fulani hivi tabia zake zimenishtua, yaani yeye hapendi mapenzi ya taratibu, anapenda fujo kinoma, haswa kitandani.

Ikifika muda wa sex yeye anataka fujo, hataki zile za slow motion, hataki zile za Shah-rukh-khan, sijui ufanye vitu in slow motion, passionately and neatly, hapana hataki, yeye bhana anataka umsukumize ukutani umpige kiss za nguvu, umbananishe ukutani umbinye shingo huku unapeleka moto kwa nguvu, kama kitandani anataka maybe umbananishe ukutani, umbinye kwa nguvu, umkunje mikono au umwinamishe kwa nguvu, bila kumwomba ainame huku umemkunja mwili kisawasawa.

Yeye hataki umwombe afanye hivi mkiwa kitandani au umwambie asogee, hapana hio utamkera, yeye anataka umfanyie kitu unachowaza bila kumwomba/kumwambia na hicho kitu umfanyie aggressively, hataki umwonee huruma wewe fanya tuu yeye atajua mwenyewe kama anaumia au haumii, na kadri utakavyo kuwa aggressive kwake ndivo utakavomfanya awe wet zaidi.

Naandika huu uzi kwa sababu kitu kilichotokea jana kimenitisha sana, jana aliniomba nimng'ate shingo, sawa nikamng'ata, akasema hamna ning'ate tena kwa nguvu, nikafanya hivo, akasema hapana mbona unaogopa ning'ate kwa NGUVU, basi nikamng'ata kwa nguvu hadi damu kidogo ikatoka, basi baada ya kuona vile mm sikupenda it turned me off, nilipomwangalia usoni nikamwona ana furaha, nikamwambia "polee bahati mbaya, inabidi tupasafishe hapo tuweke bandage" yeye akasema "hapana, tuendelee tuu hivohivo" mi nikwambia siwezi kuendelea katika hii hali, basi yeye akasema "bhana kama hivo siku nyingine" akavaa nguo zake akaondoka.

Kusema ukweli kwa upande wangu nahic kama nina makosa, maana hii tabia niliiona tokea mwanzo na sikusema chochote hadi imefika stage kama hii sasa ndo naanza kuona jau.

Kama kuna mtu yeyote ameshawahi kukutana na mwanamke mwenye tabia kama hizi naomba unipe experience yako, how did you deal with this situation?
 
Ushauri wangu, We piga kazi achana na kutafuta ushauri sijui inakuaje. Kikubwa tu, epuka kufanya kitu atakachokuomba unajua kinaweza mletea shida yeye. Kuna watu wanapenda hizo Rough Sex, yaani ile unaisukumizia ndani kwa nguvu yaani yeye basi anajisikia rahaa lakin kuna wengine wanapenda zile slow motion. Kama unampenda, Muelewe mahitaji yake mshughulikie kisawa.
 
Back
Top Bottom