Mke kama huyu kwanza muda wa kutoka nyumbani kwenda mihangaikoni ukifika unaanza kuwaza unaondokaje?
Mke kama huyu huwezi hata kucheat, ukitaka kucheat nafsi inakusuta na unaona kabisa...
Ni staili moja tamu sana na hii ni mahususi kwa wale wakina dada wenye visima.
Yaani mwanaume unalala chali kama kawaida halafu demu anakuja kwa juu....ni kama vile anaikalia halafu anaweka nne...
Wakuu kwema?
Kwakwel nimekumbana na Hilo swali kwa miaka saba sasa, na bado sina dalili ya kuoa kabisa.
Mbaya zaidi wanaoongoza kuniuliza ni wake za watu, sasa sijui ni kwanini maana madem ambao...
Ubhukile msani wa JF.
Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini.
Ilikuwa tarehe za...
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu.
Mimi nawatafuta sana ila...
Wasalam,
Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa
kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma)
umri:wowote(mimi 22)
Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
Wakuu Umuofia,
Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho.
Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana...
Wajumbe hodiii.Bila kupoteza muda nichekeche mada.
Kuna hili swala la kuishi karibu ex alooo ni jambo gumu sana hasa pale unapokuta hamjaachana kwa ugomvi,yaani usipocheck anytym chawezanuka(even...
Hellow african,
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza...
Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika.
Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea...
Waungwana,
Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku...
Jamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote...
Ni aibu na fedhea sana...
Inakera, inachefua na kusikitisha sana..
Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu...
Hello.
Ni nani aliye na Hizi tabia .
1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.
2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.
3. Ninafanya jambo...
A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife".
Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a...
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi...
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi
Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo
Tatizo lilianzia pale ambapo...
Kwanza kabisa shukrani za dhati kabisa zimuendee maumba wa mbingu na ardhi..
Mimi ni mlinzi katika moja ya apartment zilizopo masaki Dar es Salaam, nilipata mafunzo yangu ya mgambo mkoani Pwani...