Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anyone yuko familiar with kuryans?
1 Reactions
114 Replies
16K Views
Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Anadai anaona soni Anataka taa zote za humu chumbani eti zizimwe Ndio, zizimwe kabisa, tubaki kwenye giza tii ndo yeye avue nguo[emoji15] Yani hata TV izimwe maana na yenyewe ina mwanga, na...
6 Reactions
77 Replies
4K Views
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake. 1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu. 2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu. 3. Awe amejiajiri mwenyewe...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasalaam jamani. Kuna watu ambao mahusiano yao yametawaliwa na "baby come back/baby please stay" miaka nenda rudi. Kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida kwao maana kila mmoja anamjulia...
13 Reactions
67 Replies
4K Views
Na. John- Baptist Ngatunga ___________________________ Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Mimi ni binti wa miaka 33, baada ya kumaliza chuo nimekua nikiishi kwa Kaka yangu huu ni mwaka wa kumi sasa. Mwanzo nilikua kawaida na wifi yangu, lakini baada ya muda nilijikuta tu na mchukia...
12 Reactions
107 Replies
10K Views
Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi. Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu. Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Kila siku utasikia wanawake hawapendani blah blah blah....kama wanaume mnapendana sana mbona kwenye "THREESOME" huwa haongezwi mwanaume??? 😆😆😆 Just joking guys....juuuuuuuuust joking😁😁 On to...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
4 Reactions
9 Replies
747 Views
Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku...
2 Reactions
6 Replies
717 Views
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa. Mimi nina miaka 36 Mkiristo. Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari wana JF humu ndani natumanini kila mmoja ni mzima wa afya kabisa Bila kupoteza muda niiende moja kwa moja kwenye kisa changu cha kweli kilichonitokea na nitajitahidi sana kugusia mambo...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu nimekutana na hii habari njema kutoka kwa majirani zetu wa karibu kabisa Hawa mila na tamaduni zao zingine si zinafanana tu na za kwetu hapa? Tuna kitu cha kujifunza hapa. *sosi...
4 Reactions
6 Replies
469 Views
Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi. Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity. Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua...
14 Reactions
56 Replies
4K Views
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi...
36 Reactions
122 Replies
10K Views
Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa. Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya . Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Natafuta mke, umri miaka 30 Hadi 40 Mkisto, mjasiriamali wa kati. Awe anaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara naishi Dar. Umri wangu ni miaka 45. Nahitaji mwenye Elimu ya sekondari hadi chuo kikuu...
5 Reactions
17 Replies
978 Views
Wasalamu. Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma. Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani. Hawa wa kileo mnajuana...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom