Heko waganda kwa kuondoa mahari ya ndoa

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,751
3,380
Wakuu nimekutana na hii habari njema kutoka kwa majirani zetu wa karibu kabisa

Hawa mila na tamaduni zao zingine si zinafanana tu na za kwetu hapa?

Tuna kitu cha kujifunza hapa.

*sosi: Mwananchi, Instagram
Screenshot_20240310-140452_Instagram Lite.jpg
 
Sasa kama unataka kuolewa na kamanda Yoweri Kaguta M7 basi pokea mahari yake tu😂😂😂, ila siku ukimzingua bindi yake jua imeisha hio!
 
Wakuu nimekutana na hii habari njema kutoka kwa majirani zetu wa karibu kabisa

Hawa mila na tamaduni zao zingine si zinafanana tu na za kwetu hapa?

Tuna kitu cha kujifunza hapa.

*sosi: Mwananchi, Instagram
View attachment 2930364
Museven ambaye ni Mnyarwanda ndo anakilisha waganda wote, unafikiri kila anae ozesha ka pora mali ya ummah?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom