KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 527
- 1,100
Wasalamu.
Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma.
Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani.
Hawa wa kileo mnajuana Leo na deni linaanza hapo hapo.Shida kibao mpaka za ukoo wao.
Siku hizi Kuna biashara ya mapenzi ila usijidinganye kwamba anapendwa mtu.
Kama unaamini unapendwa unajidanganya ndugu.
Ukitaka kulijua penzi la mkeo firisika au fukuzwa kazi.