Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,979
Anadai anaona soni
Anataka taa zote za humu chumbani eti zizimwe
Ndio, zizimwe kabisa, tubaki kwenye giza tii ndo yeye avue nguo[emoji15]
Yani hata TV izimwe maana na yenyewe ina mwanga, na yeye hautaki
Wakuu hii maana yale nini? maana namimi sielewielewi hapa[emoji56][emoji56]