Hellow,
Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua.
Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza...
Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na...
Habari za muda huu masista duu, mabrazamen, mafazamen and mamazawumeni. Natumai mpo salama na ni wa zima wa afya plus mahangaiko ya hapa na pale
Sasa wakuu wangu mimi ni kijana ambaye bado...
Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha.
Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja...
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya.
Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani...
Kwa lugha ya malkia mnaita 'swaying'.
Ni moja ya sanaa za kale iliyorithishwa kupitia mafunzo ya jando na unyago na mafunzo mengine yasiyo rasmi ndani ya makundi rika.
Inahusu wandani wawili...
Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha.
Mimi na miaka 40. Ni mkristo...
Habari wakuu....
Huyu dada amekuwa rafiki yangu kwa kipindi cha muda mrefu huku tukijaribu kusaidiana kwa vitu vingi na urafiki wetu ulikuwa kama Tupo kwa mahusiano jambo la kunishangaza muda si...
Wakuu,
Mwezi uliopita tulikuwa na ugomvi mkubwa sana nikadhamiria kabisa kuachana naye moja kwa moja.
Baada ya kuomba msamaha sana, turudiane ikashindikana. Akameza vidonge lengo kujiua...
Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu...
Yani.
Uko On point kila mahala.
School fees
Family and relatives support
Daily chores..domestics upo.
On Bed even better..
Yani you are perfect.
Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya...
Umufia kwenu wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka...
Shalom
Hodi hodi jumapili!
Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au...
1. MKE SHEREHE (party wife)
Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya...
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.
Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa...