Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu na mwenye ufahamu na asikie neno hili. Siyo kwamba tunawachukia wanawake, tunawapenda ila nyie wenyewe ndiyo waharibifu wakubwa, bado mnadanganywa na wanawake wenzenu mafeminist...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa...
24 Reactions
194 Replies
15K Views
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Mwanaume Naishi Dodoma kikazi. Umri wangu 39.5 Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa Dini:mkristo Kazi:nmeajiriwa na serikali Mweusi mimi sio sana Nahitaji mke Umri 25-35 Awe mweusi kidogo...
2 Reactions
1 Replies
449 Views
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
31 Reactions
816 Replies
46K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
28 Reactions
155 Replies
8K Views
Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k...
17 Reactions
64 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa...
9 Reactions
75 Replies
4K Views
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua...
17 Reactions
261 Replies
10K Views
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi...
18 Reactions
176 Replies
9K Views
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele. Dada wa watu anabaki analia lia. Mume kamuacha na wewe...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu nawasalimu sana . Katika maisha ya kawaida ya binadamu , tunajua fika kabisa tunategemeana kutokana na ugumu wa maisha uliopo , hivyo hivyo na ndipo lilipo chimbuko la mahusiano mengi...
18 Reactions
123 Replies
8K Views
Hili swala limekaaje maana asilimia kubwa Kwa uchunguzi nilioufanya Kwa hawa Dada zetu ni ngumu sana kukubali aolewe na mwalimu ndomana walimu wanaishia kuowana walimu Kwa walimu. MIMI nadhani...
62 Reactions
507 Replies
27K Views
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake...
16 Reactions
136 Replies
6K Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
30 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani? Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao. Wengine wanaishia...
15 Reactions
83 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…