Ila wanaume sisi nimakatili Sana hivi kwanini hatuwezi kuoa mwanamke ulimuachanisha na mume wake?

Una kuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele...

Dada wa watu anabaki analia lia...mume kamuacha na wewe umemkataa..
Uaminifu ni kitu kikubwa kuliko pesa, mwizi hawezi acha wizi
 
Watu kama ninyi munaandika vitu as if mwanamke ni LITOI fulani hivi ambalo haliwezi jiamulia kitu, sasa hapa makosa ya mwanaume au mwanamke, mtu upo kwenye ndoa unamsaliti mumeo na kuvunja ndoa then unakuja kuwapa lawama wanaume.
 
FB_IMG_1709267317688.jpg


Mwanamke inatakiwa umfanyie kama marekani anavyoifanyia ulaya
 
Sasa hapo kosa la mwanaume ni lipi? huyo mwanamke anayeona ndoa yake haina maana ndio mpumbavu, yaani uache kumthamini aliyejitoa kimaso maso na kukuweka ndani uhangaike na ambaye anataka uchi wako tu si upumbavu huo
 
Mpumbavu ni anaekubali kuliwa futa na mwanaume asie Mme wake na unaanzaje kuoa mwanamke anae msaliti Mme wake? hata wewe atakusaliti vile vile tuu piga chini akafie mbali
 
Alivyokuja ndivyo atakavyoondoka. Kama alikuja kwa upendo ataondoka upendo ukiisha.

Kama alikuja kwa uzinifu then mkianza kuishi kiuhalali kama mke na mume ataondoka na kwenda nje kutafuta mzinifu ambaye ataondoka nae.
 
Kiasili mwanamke ni adui wa mwanaume hiyo inaeleweka tangu edeni. Pale ambapo mwanamke huyo alipotaka kupola madalaka ya mwanaume wakishilikia na na iibilisi. Tabia yao ni ileile kwa hhiyo akishtukiwa ndio ndio anajifanya kutia huluma
 
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele.

Dada wa watu anabaki analia lia.

Mume kamuacha na wewe umemkataa..
Mwanamke akiweza kumuacha mumewe kwaajili yako unadhan na wewe hatakuja kukuacha?
 
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele.

Dada wa watu anabaki analia lia.

Mume kamuacha na wewe umemkataa..
Hupaswi kumwamini mwizi ambaye mmeshiriki wote kwenye tukio, ipo siku atakufanyia vivyo hivyo kama alivyomfanyia mwanamme wake.
 
Kama alimcheat mume wake kwa ajili yako basi ujue atakucheat hata wewe

Malaya hafugiki

Mwamba kayaacha matatizo wewe uyabebe matatizo

Hiyo akili au matope?
 
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele.

Dada wa watu anabaki analia lia.

Mume kamuacha na wewe umemkataa..
Huu ndo unyama sasa, huyo mwamba apigiwe makofi. Hatuoi malaya wao huama hama hovyo.
 
Back
Top Bottom