Hakikisha mwanamke uliye naye ana hela au anatoka familia ya kitajiri

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,855
Ndugu zangu nawasalimu sana .

Katika maisha ya kawaida ya binadamu , tunajua fika kabisa tunategemeana kutokana na ugumu wa maisha uliopo , hivyo hivyo na ndipo lilipo chimbuko la mahusiano mengi sana kwa sasa kuwa ghali kupita kiasi na kupelekea hasara kubwa sana kwenye jamii husika pamoja na mauaji ya kukusudia

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyo ainisha hapo hakikisha unapo anzisha mahusiano uwe na mwanamke mwenye hela au mwenye uwezo wakujihudumia mahitaji madogo madogo mwenyewe bila kukusumbua au kukupiga mizinga

Pia hakikisha sana kama hana hela au uwezo wowote wa kujihudumia mahitaji madogo madogo basi awe anatoka katika familia ya kitajiri( uchumi imara)

Tunajua enzi na enzi mwanamke ni "Ubavu", mwanamke ni "chombo" na pia kaainishwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa hakina nguvu hivyo tuishi nao kwa AKILI.

Ndugu zangu ili uweze kuishi na mwanamke kwa akili ni lazima nyota zenu ziendane , wasio amini nyota watabisha ila ukweli ni huu..

Rejea hizi point hapa :

1:Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake

2:Waache wafu wazike wafu wao

3: Usienende kwa njia ya wasio haki

***Kama mwanaume unayetaka kuoa / kuwa na mpenzi lazima mwanamke awe na uwezo wa kiuchumi na kama hana lazima atoke katika familia inayojiweza tofauti na hapo utakua masikini maisha yako yote

Ndugu unapokua na mwanamke masikini au anayetoka katika familia masikini hunatofauti na kuongozana na kipofu , natunajua fika kuongozana na kipofu wote mtapotea na kudumbukia shimoni maana hakuna anayeona, mwanamke masikini ni kipofu haoni future hivyo hatoweza kabisa kukupa mawazo chanya ya kujikwamua kiuchumi ili msonge mbele,

Badala yake atanyonya hicho kidogo unacho kipata kwa tabu na kukitumia yeye pamoja na kusambaza kwa ndugu zake masikini na kuwaacha nyie mkiwa hamjiwezi au kuelemewa na ugumu wa maisha hali itakayopelekea mahusiano/ndoa yenu kukumbwa na changamoto za migogoro ya hapa na pale ya kiuchumi na hatimaye kusambaratika kabisa.

***Mwanamke masikini mwache afungamane na masikini mwezake, mwanamke mwenye uchumi hafifu, asiye na akili au familia anayotokea wapo duni kiuchumi na kiakili huyo siyo type yako ewe kijana mwache atakutana na mwezake wanaoendana huko mbele,

kijana mwenye future za kusonga mbele kuingia kwenye njia za wanawake masikini, wanawake fukara na koo za kifukara kwa kisingizio cha mmependa hakuna tofauti na kuvuta mkokoteni ulio fungwa kwenye mti ukiamini ipo siku utausogea na kusonga mbele ili hali hujatumia akili za kuufungua kwenye mti ili uuvute.

Kijana kufungamana na mwanamke wa aina hiyo hakuna tofauti na kusukuma ukuta mkubwa huku ukiamini umesoge na kujipiga kifua kwamba umesogeza ukuta

hao waacheni watapata wenzao wanaofanana na hao , kumbuka kila mtu atapewa wa kufanana naye , mwanaume jitathimini sana unapo chagua mwanamke wakujenga nae maisha

*** Njia za wanawake wasiojiweza , fukara na wanaotoka katika koo masikini hazina tofauti na njia itakayo kupeleka upotevuni ukifungamana nao, waache ila waombee baraka ila usisahau kujitafutia njia sahihi utakayo songanayo mbele wewe kama mwanaume

Kufata njia zao za wanawake wa aina hii kule ndipo utapata madanga, wachunaji, wanawake wasio na nidhamu ya fedha na waliojaa udhalimu, utapatana na dada poa huko huko, na wanawake wenye tamaa ya mali na fedha, maradhi na chuki zidi ya wanaume

Ewe mwanaume epuka sana mwanamke masikini au epuka sana kufungamana na mwanamke anayetoka kwenye koo masikini sana, kwani kujiingiza huko nikujitwika gunia la misumari kichwani huku ukiamini utafika mwisho wa safari yako.

WANAUME TUME AMRIWA KUTUMIA AKILI, AKILI MOJA WAPO NI KATIKA KUCHAGUA MWANAMKE SAHIHI WA KUISHI NAE HUKU UKIMUOMBA MUNGU

KUMBUKA HUWEZI KUCHAGUA MWANAMKE KAHABA / ASIYE NA AKILI/MWENYE LAANA /MASIKINI ALAFU UKAMUOMBA MUNGU AMBADILISHE AWE MWEMA NA TAJIRI ILI HALI UNA AKILI NA MAARIFA ZA KUTAMBUA HILO HALIFAI

nb: Ukishindwa kuchagua omba uchaguliwe mwanamke na wazazi wako, mahusiano ya sasa ni hasara ndugu kuweni makini sana.

MWANAMKE HAPENDI ,MWANAMKE ANA TII, UPENDO NI WA MWANAUME
 
Ndugu zangu nawasalimu sana .

Katika maisha ya kawaida ya binadamu , tunajua fika kabisa tunategemeana kutokana na ugumu wa maisha ukiopo , hivyo hivyo na ndipo lilipo chimbuko la mahusiano mengi sana kwa sasa kuwa ghali kupita kiasi na kupelekea hasara kubwa sana kwenye jamii husika

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyo ainisha hapo hakikisha unapo anza mahusiano uwe na mwanamke mwenye hela au mwenye uwezo wakujihudumia mahitaji madogo madogo mwenyewe bila kukusumbua

Pia hakikisha sana kama hana hela au uwezo wowote wa kujihudumia mahitaji madogo madogo basi awe anatoka katika familia ya kitajiri( uchumi imara)

Tunajua enzi na enzi mwanamke ni "Ubavu", mwanamke ni "chombo" na pia kaainishwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa hakina nguvu hivyo tuishi nao kwa AKILI.

Ndugu zangu ili uweze kuishi na mwanamke kwa akili ni lazima nyota zenu ziendane , wasio amini nyota watabisha ila ukweli ni huu..

Rejea hizi point hapa :

1:Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake

2:Waache wafu wazike wafu wao

3: Usienende kwa njia ya wasio haki

***Kama mwanaume unayetaka kuoa / kuwa na mpenzi lazima mwanamke awe na uwezo wa kiuchumi na kama hana lazima atoke katika familia inayojiweza tofauti na hapo utakua masikini maisha yako yote

Ndugu unapokua na mwanamke masikini au anayetoka katika familia masikini hunatofauti na kuongozana na kipofu , natunajua fika kuongozana na kipofu wote mtapotea na kudumbukia shimoni maana hakuna anayeona, mwanamke masikini ni kipofu haoni future hivyo hatoweza kabisa kukupa mawazo chanya ya kujikwamua kiuchumi ili msonge mbele,

Badala yake atanyonya hicho kidogo unachokipata kwa tabu na kukitumia yeye pamoja na kusambaza kwa ndugu zake masikini na kuwaacha nyie mkiwa hamjiwezi au kuelemewa na ugumu wa maisha hali itakayopelekea mahusiano/ndoa yenu kukumbwa na changamoto za migogoro ya hapa na pale ya kiuchumi na hatimaye kusambaratika kabisa.

***Mwanamke masikini mwache afungamane na masikini mwezake, mwanamke mwenye uchumi hafifu, asiye na akili au familia anayotokea wapo duni kiuchumi na kiakili huyo siyo type yako ewe kijana mwache atakutana na mwezake wanaoendana huko mbele,

kijana mwenye future za kusonga mbele kuingia kwenye njia za wanawake masikini, wanawake fukara na koo za kifukara kwa kisingizio cha mmependa hakuna tofauti na kuvuta mkokoteni ulio fungwa kwenye mti ukiamini iposiku utausogeza na kusonga mbele ili hali hujatumia akili za kuufungua kwenye mti ili uuvute.

Kijana kufungamana na mwanamke wa aina hiyo hakuna tofauti na kusukuma ukuta mkubwa huku ukiamini umesoge nakujipiga kifua

hao waache watapata wenzao wanaofanana na hao , kumbuka kila mtu atapewa wa kufanana naye , mwanaume jitathimini sana unapo chagua mwanamke

*** Njia za wanawake wasiojiweza , fukara na wanaotoka katika koo masikini hazina tofauti na njia itakayokupeleka upotevuni ukifungamana nao, waache waombee baraka ila usisahau kujitafutia njia sahihi usinge nayo mbele wewe kama mwanaume

Kufata njia zao za wanawake wa aina hii kule ndipo utapata madanga, wachunaji, wanawake wasio na nidhamu ya fedha na waliojaa udhalimu, utapatana na dada poa huko huko, na wanawake wenye tamaa ya mali na fedha, maradhi na chuki zidi ya wanaume

Ewe mwanaume epuka sana mwanamke masikini au epuka sana kufungamana na mwanamke anayetoka kwenye koo masikini sana, kwani kujiingiza huko nikujitwika gunia la misumari kichwani huku ukiamini utafika mwisho wa safari yako.

WANAUME TUMEAMRIWA KUTUMIA AKILI, AKILI MOJA WAPO NI KATIKA KUCHAGUA MWANAMKE SAHIHI WA KUISHI NAE HUKU UKIMUOMBA MUNGU

KUMBUKA HUWEZI KUCHAGUA MWANAMKE KAHABA /MASIKINI ALAFU UKAMUOMBA MUNGU AMBADILISHE AWE MWEMA NA TAJIRI ILI HALI UNA AKILI NA MAARIFA ZA KUTAMBUA HILO HALIFAI

nb: Ukishindwa kuchagua omba uchagukiwe mwanamke na wazazi wako, mahusiano ya sasa ni hasara ndugu kuweni makini sana.
Ndoa sio pesa au utajiri wa familia , ni zaidi ya mali usipotoshe watu.
 
Back
Top Bottom