Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hellow JF Members, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba maoni ya wadau. Unakuta mwenza ni mgumu sanaa kupokea ushauri hata wa kawaida tu na pale mambo yanapomuendea kombo juu ya jambo...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
13 Reactions
103 Replies
5K Views
Heshima kama zote kwenu wana JF. Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon. Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano...
10 Reactions
84 Replies
4K Views
Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro. kuchapiwa kwa sisi wanaume...
11 Reactions
68 Replies
5K Views
Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ? Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie? Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo'...
22 Reactions
155 Replies
6K Views
Ukweli wa mambo hasa kwa wale jamaa au wapenzi wa kutumia doggy aka style. Style hii ndo imekua chachu kubwa sana kwa vijana wengi kuamia 0713... Ushauri vijana tutafute style zingine matatizo...
26 Reactions
1K Replies
256K Views
USIMUACHIE MKEO AMLEE MTOTO WA KIUME; ~Jukumu ni lako kumfanya awe ngangari [emoji3468] 25 mfundishe mwanao. 1. Mwambie marufuku kutoa machozi ukianguka na kuumia 2. Mwambie wanaume tunaoga...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
For this matter, this language is appropriate. This confession comes from someone, somewhere. It's about a side mama (not a chick). As a married man, sometimes the urge to give up the addiction...
3 Reactions
8 Replies
865 Views
Nahitaji mtu mke atayekuwa mwenza wa maisha. Sifa zake 1. Asiwe mpenda kujipodoa sana. Tafiti zinaonesha wanaojipodoa san asilimia kubwa ni wachepukaji. 2. Umri uwe kati ya miaka 23 na 28 3...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo...
13 Reactions
137 Replies
5K Views
Humu nimesoma post nyingi za wanaume wanatafuta wanawake wakuishi nao sasa vigezo vinafurahisha. 1. Eti awe na chuchu zimesimama . Sasa mnawazalisha watoto wadogo hadi tigo mnawaomba sasa...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu. Siku moja nikakutana na kidemu...
5 Reactions
37 Replies
20K Views
Wanawake wengi inasemekana wanaolewa wakiwa tayari washapigwa mambo. Mliobahatka kuolewa mkiwa na bikra zenu njoo mtoe fundisho kwa vijana wetu wa leo.
1 Reactions
71 Replies
20K Views
Ni miaka 2 Sasa toka nikate mawasiliano na aliyekuwa mchumba wangu. Jmosi iliyopita amenitafuta baada ya hiyo miaka 2! Tulidumu kwenye mahusiano kama miaka 3 na miezi kadhaa kutokana na changamoto...
15 Reactions
134 Replies
5K Views
Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa na mahusiano na pisi kali balaa (mchepuko), kutokana na uzuri wake akawa ananipiga mizinga mara kwa mara, mpaka ikafikia nikawa navaa suruali moja kauka nikuvae. Kutokana na uzuri wake...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
Sheria ya ndoa imemtasfiri mwanamke wa kizazi cha nyuma kidogo ambae alikua na maadili mema, mtiifu na ana dhamira ya dhati kuidumisha ndoa yake. Kwa sasa wanawake wamejanjaluka na washaona sheria...
27 Reactions
154 Replies
5K Views
Back
Top Bottom