Kwa wadada waliyo tayari kuolewa. Natafuta mke

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,429
3,532
Nahitaji mtu mke atayekuwa mwenza wa maisha.

Sifa zake
1. Asiwe mpenda kujipodoa sana. Tafiti zinaonesha wanaojipodoa san asilimia kubwa ni wachepukaji.
2. Umri uwe kati ya miaka 23 na 28
3. Asiwe mtumiaji kabisa (hata kuonja) wa vilevi/madawa pamoja na sigara/bangi.
4. Awe hajawahi kuishi na mwanaume kinyumba ama kuolewa.

Sifa zangu zinashabihiana na hizo kwa aslimia kubwa. Mengine tuonane pm.

N.B: Naomba uwe unamaanisha tafadhali.
 
Sijui una tafuta nini mkuu..lol.. kujiremba kwa mwanamke ni kitu kipo damuni..lol
 
Hutaki mwenye kujipodoa tena!! Hapo nadhani utampata mwenye kutumia majivu. Umewahi kumkuta aliyetoka mijasho kweli?? Inaonesha weye nawe ni mgeni wa hao watu. Raha umkute ndo katoka shamba halafu kachoka umlilie kimasharaaa ndo utaujua utamu wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom