Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia . Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua...
3 Reactions
0 Replies
466 Views
Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
NI mamb gani upelkea mtamfluko wa MAPENZ kuvnjika kbisa kuto elewan pia kuon wabaya zaid kujsemea “Nmefnya makosa kuwa na wew Kwa mim yot y yote naamin percntge nyng wanachkua WASCHNA kualbu...
1 Reactions
13 Replies
610 Views
Katika umri mdogo kijana anamtamkia binti maneno anayoumba kutoka katika akili yake na majibu ya binti yatashtua mapigo ya moyo ya kijana aidha kwa wasi wasi au mahaba. Wakati wa umri mdogo...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Tujuzane.. Isijekua tunamiss mambo matamu.. Nasikia kuna kondomu ambazo ukitumia ni sawa na unapiga kavu yaani zinakupa utamu ule ule sawa na unaoupata ukipiga kavu. Tujuzane kwa wale expert...
1 Reactions
112 Replies
47K Views
Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Aisee muda unakwenda kwa kasi ila mambo au maisha yanakwenda taratibu nadhani sijui kwa wengine. Imagine madogo waliozaliwa mwaka 2000 huu mwaka watasheherekea birthday ya kutimiza miaka 24. Huu...
17 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi unaweza kweli kumuumiza mtu mpendae kwel. Yaani kumfnyia vtendo ambavyo havistahili kufnyiwa, km MPIGA BILA KOSA or kuuingza mwanmke mwengine akat yeye yupo? PIA kutokujal hisia zake juuu...
0 Reactions
4 Replies
429 Views
Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi? Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu...
2 Reactions
3 Replies
583 Views
Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
4 Reactions
137 Replies
6K Views
Jambo Sana! Wakati wengine wakibadilisha Maisha Yao Kwa dakika tano Kwa kubet, Mimi nilikuwa napiga doria katika account za mitandao ya kijamii huko Pm na inbobo nikivizia mawindo. Wengine wengi...
24 Reactions
114 Replies
10K Views
Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'. Baada ya kufika...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Covert Incest au Emotional incest ni aina ya unyanyasaji ambao unahusisha mzazi/mlezi kutegemea msaada wa kisaikolojia au ushauri wa kisia kutoka kwa mtoto wake ambao alitakiwa kuupata msaada huo...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo. na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hope mko poa wadau. 1 Kati ya kazi ngumu na mnyororo safi kabisa wa umaskini ni pamoja na kuwapaka rangi za kucha+kusuka wadada. Hasahasa ikifanywa na mwanaume. Hua nawaangaliaga nikipita...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Habari. Najua wengi mtakuwa familiar na hili neno kumove on sababu hutumika kumaanisha maisha baada ya kuvunjika mahusiano ya kimapenzi. Matumizi ya hili neno huwa hayafanani kimantiki au...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom