Bestfriend wa my Papa Bear anani approach

Bestfriend wa my Papa Bear anani approach

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
895
Reaction score
2,218
Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?

Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?

Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear coz yeye anachepuka na kanionesha hadi picha zake.

Am hurting like foreal foreal.
 
Dunia ipo kasi sana, niliona demu mmoja kamsevu sijui ndio papa bear wake [emoji38][emoji38][emoji38], kamsevu GOAT, nikajua ni ila ya great of all times, cha ajabu ana customised ringtone kwa huyo papa bear yake ya mbuzi, sasa hapo mpaka leo sijapata majibun
 
Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?
Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?
Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear coz yeye anachepuka na kanionesha hadi picha zake.
Am hurting like foreal foreal.
Uzi ukiambatana na picha inapendeza sana, hebu weka picha za hao mapapa bear.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom