Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate - Mwanamke 40s asie na mtoto - Mwanaume 40s ambae kafulia
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti...
20 Reactions
157 Replies
9K Views
Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano. Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,😋😋😋
9 Reactions
15 Replies
7K Views
Sujui sababu ila naogopa kuingia mmu
6 Reactions
53 Replies
3K Views
MAPENZI NI MATAMU, NAOFIA KUUMIZA MOYO NASHINDWA KUJARIBU, ROHO INANIUMA SANA... ROHO INANIUMA ENH, ROHO INANIUMAAAA, ROHO INANIUMA, ROHO INANIUMA, ROHO INANIUMA ENH.. NAHOFIA KUUMIZA MOYOOOOO...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
upepo wangu wakupuliza wewe, mwenye joto kali. usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukaali. ninachotaka mi ni kuwa na, wewe naomba unielewee uuuhhh beibiiiii. *2 moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
Kwa Utafiti usio rasmi wanaume wengi kwenye jamii ambao waliwatelekeza watoto wao bila kuwatumia chochote wala kuwatembelea watoto hao kwa sababu ya migogoro na wanawake waliozaa nao Hawana...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Usaliti ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi. Jamii yetu ya saivi haswa kwa vijana wanapitia...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Shalom, Siku hizi wanawake nao hawatunzi hisia za minyanduano. usipomcheki hakutafuti. Huwa najiulizaga sana sipati majibu, shida ni mimi nina shoo mbovu kwa mademu zangu , ni mizimu haitaki au...
18 Reactions
118 Replies
7K Views
Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure. Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo. Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
14 Reactions
186 Replies
8K Views
Wengine wana changamoto zao ambazo hawawezi kukushirikisha mojakwamoja na hawapendi wakusababishie Sasa wewe endelea kufosi Habari ndoiyo Usiseme haukuambiwa
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza...
136 Reactions
199 Replies
15K Views
Onyo: Ndugu zangu huu uzi ni wa majonzi makuu. Wale mliopoteza wapenzi wenu katika maisha haya ya dunia ilikujekuaje na mlifanyaje kuwasahau na kuendelea na maisha mengine Kwangu ilikua hivi...
5 Reactions
4 Replies
827 Views
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
11 Reactions
267 Replies
21K Views
Dear jf members kheri ya mwaka mpya 2024 ... Huu ni mwaka wa kihistoria katika maisha yangu ya hapa duniani ni mwaka ambao natarajia kufanya maamuzi magumu ya kufunga ndoa tukio ambalo nimeliwaza...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Wanawake tupinge na kukataa mateso ya ngono toka Kwa wanaume. Kifo cha Mende kinatosha kabisa. Mambo ya kuikalia sijui na kuturusharusha vichura hatutaki. Kutubenua na kuchungulia matundu yote...
143 Reactions
2K Replies
140K Views
Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye...
9 Reactions
121 Replies
5K Views
Back
Top Bottom