Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

matics

Senior Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
133
Reaction score
81
Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu.

Siku moja nikakutana na kidemu changu ndo ilikuwa siku ya kwanza baada ya kumaliza kanasema nimekatoa bikra wakati hata damu sikuziona. Je, kweli linawezakana hilo?

Wataalam wa mambo leteni michango
 
Miongoni mwa wale 854 utakuwa ni wewe
 
Nimewahi kusikia pia watoto wa kike wanaopanda farasi mnyama bikra inaweza kutokuwa kwa njia hiyo pia.
Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu.

Siku moja nikakutana na kidemu changu ndo ilikuwa siku ya kwanza baada ya kumaliza kanasema nimekatoa bikra wakati hata damu sikuziona. Je, kweli linawezakana hilo?

Wataalam wa mambo leteni michango
 
Inawezekenana sema sio kama ni mara moja tu alafu inazama yote duh hapana kwakweli
 
Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu.

Siku moja nikakutana na kidemu changu ndo ilikuwa siku ya kwanza baada ya kumaliza kanasema nimekatoa bikra wakati hata damu sikuziona. Je, kweli linawezakana hilo?

Wataalam wa mambo leteni michango
Hiyo bikra ya ndimu na limao ndo inatoka bila damu
 
Back
Top Bottom