Kwanini unamng'ang'ania mpenzi aliyekuacha?

Kwanini unamng'ang'ania mpenzi aliyekuacha?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,703
Reaction score
19,589
Mtu umeachana nae lakini kwa nini roho na moyo unakusuta? Kwa nini usiendelee na maisha yako ? Ukimuona ana mtu mwingine unaumia, amependeza wewe unamtamani, kwa nini unakuwa hivyo ili hali mliachana?
 
Sasa umpate kama huyu, wewe utaacha kumng'ang'ania? 😡

IMG_20260806_111647_305.jpg
 
Wewe haujawahi kukutana na penzi tamu. Unampenda mtu humuachi yaani mnatengana kwa muda tu ila ukienda ule utamu kama kitimoto unakuvuta.

Mfano mimi,yule mtoto 'Invyo' naanzaje kumuacha,ni mchagga nikamfundisha kuikatikia na kuifinyia kwa ndani, lakini mbaya zaidi ni yule mtoto alishika mbinu zangu za "Zemanda Kamasutra". Akajua kunata na biti langu aisee.

Nikajaribu kumuacha,weeeee miezi mitatu tu nilimtafuta mwenyewe nikakuta kuna jamaa anataka kuzengea awe nae serious (hakumla lakini)aisee nilimchukua kibabe kama mke wangu wa ndoa na nilimfokea mbele ya jamaa na kazi nilimuachisha nikamwambia sishindwi kukutunza. Tupa line zote nikamchongea mpya.

Aiseee

Now mwaka wa 12 tunaendesha uhusiano.
 
Kuna Jagina ambazo ni tamu sana aisee, alafu ukute alikuwa ni mtoto ana makebo makubwa hauwezi msahau

  • Waefeso 4:29 — “Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema kwa kumfaa mwenye kuhitaji…”
  • Wakolosai 3:8 — Inataja “matukano” miongoni mwa mambo ambayo Mkristo anatakiwa kuyaacha.
  • Mathayo 5:22 — Yesu anaonya kuhusu kumkasirikia ndugu na kumtukana/kumdhalilisha.
  • Yakobo 3:9–10 — Inaonya kwamba kwa ulimi tunamhimidi Mungu, lakini kwa ulimi huo huo tunawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.
  • Mithali 12:18 — “Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; bali ulimi wa mwenye hekima huponya.”
 
Amina mtumish¡
 
Kama umeacha ndo hata mwawazo hayata kuwepo ila ukiachwa hapo ndo issu huanzia
 
Back
Top Bottom